Recent content by John Ntandu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Arsene Wenger: 'I will stay in football for sure

    ....I am addicted and I don't think that can be cured. The last words are good that shows how much in deep you can go when you fall in love of something.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa sehemu (mkoa/wilaya) ya kuishi

    Kutokana na geographia ya Tz yakupasa uchague maeneo ambayo unaweza kufanya irrigation ambayo ni kilimo cha uhakika msimu wrote. Mfano , Magugu Babati wanalima zao LA mpunga sana au Man'gola Karatu wanalima vitunguu maji sana. Na kwingineko penye uwezekano was maji ya uhakika patafaa kwa kilimo.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa sehemu (mkoa/wilaya) ya kuishi

    Ok , ni mazao gani unapenda kulima
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa sehemu (mkoa/wilaya) ya kuishi

    Je kazi yako ni nini ili tuweze kuangalia iwe mjini au vijijini.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Serikali Piga Marufuku Uingizaji na Taifisha Pikipiki Zote Aina Ya Boxer

    Shida sio pikipiki ni watu tu. Hata kama zitapigwa marufuku je binadamu huyo umembadili vipi akili yake na mawazo ili aachane na hayo matendo maovu. Kumbuka wengine wakiwezeshwa wataacha lkn wengine ndio imekuwa sehemu ya maisha yake na hao ndio wanapotolewa uhai basi ndo kapumzika kwani hata...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikimpa ni kama namwongezea spidi zaidi..

    Ulishaa mzoeza hivyo sasa fanya namna ujikwamue maana huko mbeleni kama mnampango wa kuishi pamoja italeta shida.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Natumia Huawei P 9 iko poa sana na bado naamini kunaTecno ambazo ni bora japo mimi sio mpenzi wa Tecno. Ili kiuhalisia huwezi linganisha Huawei na Tecno bado wako chini.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Siasa safi uchumi bora

    Wadau nimeona leo tujadiliane kuhusu ni vipi uchumi wa nchi unakuwa kama kuna siasa safi na je kwa hali tuliyonayo sasa sentensi hiyo inalingana na hali halisi ya kiuchumi na kijamii ?
  9. J

    JamiiForums Tanzania NMB yalaumiwa kutoa siri ya Lipumba

    Acha aendelee kuumbuka kama hataacha chokochoko ataumbuka zaidi. Acheni Mungu aitwe Mungu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Smartphone gani unaitamani na kuikubali sana?

    Htc m 8 ni nzuri internal storage yake ni GB 16 na ukipata ya German ni bombaa. Nina friends wangu walinitunia kwa $ 240
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa Dar bila kuwa na sifa hizi hunipati ng`oo

    Kwa lipi la maana ulilonalo.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Truck au filamu maalumu kuhusu Said wa scorpion

    It is ok esp for video.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Clouds FM, matangazo ya kondomu kila baada ya dakika 5 yanakera

    Haya mambo ya siku hizi yako hadharani mno ni kweli wakati mwingine yanatia aibu lkn tufanyeje sasa.Maradhi ndo hayo yametapakaa kila kona na kwa desturi zetu tunaenda pekupeku basi ndo maana hata hizo kinga zinatangazwa hadharani. Ushauri ukiona tangazo hilo toka nje kana kwamba umepigiwa simu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Halotel mmeanza kuwa watu wa hovyo hovyo?

    Halotel mnafanya sio vizuri tena kama ni dakika za bure kwa nini mpunguze mb. Turudishieni zile mb za awali hizo dakika zenu ondoeni bwana aah.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi

    Yote yako kwenye ratiba usijali.
Back
Top Bottom