mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,585
Baada ya kuamka nikiwa na mawazo ya kuangalia jf kuna habari gani mpya zimejiri nchini,ghafla nakutana na sms "ndugu mteja kwa sasa hauna MB za kutumia, tafadhari piga ×148.....kununua mb".
Cha ajabu menu yao inafunguka natafuta neno internet silioni, badala yake naona,internet-dakika za bure halotel[emoji53] .
Ok isiwe taabu nafungua ndani nakuta 1000-mb 650 dakika halotel badala ya mb 1230.kama dakika ni za bure kwanini mmepunguza mb????
Basi hamna tatizo naona mmeshalewa sifa, mmeamua ghafla kuwa wa hovyo hovyo kama wengine.nipeni muda nipooze dawa yenu msije ungua.

Hio hapo juu ni namba yangu nami ni maskini wa kawaida. Pengine mmeniweka kwenye listi ya kina Mengi ambao mkiwaibia hawaongei kwa sababu huenda hawalijui hilo. Mimi ni mchaga mchumi mchungu ambae hata shing mia ikipotea nitajilaumu sana.
Sasa ninapoweka bando mnalinywa kama maji ya sayona alafu nikiwapigia mnaniambia line ya chuo nashindwa kuwaelewa [emoji24]
Tangu jana naona mapicha picha nisiyoyaelewa kutoka kwenu. Sijawahi kutumia zaidi ya elfu moja kwenye internet ila tangu jana natumia zaidi ya 5000 naomba muitazame namba yangu tena.
Muitoe huko kwenye list ya matajiri muiweke kwenye listi ya wakopa vocha maarufu mitaani.
Niliondoka airtel kwa matarumbeta sasa naona aibu hata kujirudi
Maana naskia skuizi airtel hawabanduki ila huku kweni hii maskin tape yenu ishaloa tutahama mkiendeleza huu ujinga