Recent content by john ndale

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili kumi za msichana anaye kucheat

    Haya yote yanafanywa na mke wangu....nini nifanye ju ya tabia hizi kwa mwenzangu...?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ukitaka kufaulu mitihani fuata mbinu hizi

    Ubarikiwe sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Hiyo Suti Aliyovaa Mdau Ni ya Dukani Au Ni Ya kushona?

    Ahaaahaaa....langi ni nzuri kwani unjano wake umepooza ..pia pale kwenye kiuno nazani imekaa vizuri kwani imeshika vizuri maeneo ya mjomba.......kwakifupi niyakushona.....
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Ilala apiga marufuku ibada siku ambazo sio Ijumaa, Jumamosi na Jumapili

    Ngoja nifanye kupita njia...but kuabudi nako kunamipa............
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kabla hujasafiri kwa gari lako dogo

    Kweli mzee baba wwngine wamezoea safari zabagamoyo to dar...MTU unaenda mwanza toka dar alafu upumzike kila baada yamasaa mawili huo si wenzawazim.....kama si derva ajiri MTU akuendeshe nasio ulazimishe.....mfano kutoka dar to Dodoma si chini yamasaa nane.... Hivyo kwa maelezo ya jamaa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye mtaji kuanzia 50,000/- tuungane tuwekeze katika hili

    Nahitaji kununua binafsi uwepo tu kama aset
  7. J

    JamiiForums Tanzania China Yafanya Kufuru - USD 63bn Airport Yafunguliwa

    Tujifunze kusifia kile tulichonacho nasi kile walichonacho.......kwani hata wao hawakulifanya kwa malamoja wametimiza baada ya miaka mingi kupita vizazi navizazi .....hivyo tusibezi vyakwetu....Leo jirani yako anakula kuku lost wakati kwako unakula matembele usianze kusifia kwa jirani bali fanya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ndege yaanguka hifadhi ya Serengeti Tanzania, yaua wawili akiwepo mtoto wa CDF Jenerali Mabeyo

    Udogo wake unaujua ulivyo wewe ama MTU kuitwa mdogo ni akiwa na umri gani.....pia wewe uliemkubwa wafaham hata ili ndege iluke inahitaji mjumuiko wa mambo gani
  9. J

    JamiiForums Tanzania Serikali, Pigeni Marufuku hutu tuusafiri Kuingia Mjini. Madhara yake ni Makubwa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia

    Hivi nikweli alikugonga nyuma nakisha ukopokea laki sita.....aahahhahahahaa...itabidi dudubaya aje anisaidie kiswahili hapa .....
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Babu Loliondo (murderer)

    Napita njia ....
  11. J

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ikulu ya magogoni huu sio utanzania

    Unazani ikulu nikama choo cha stendi kila mtu anafanya vile atakavyo sio......umeshaelezwa nimahari P atakatifu sasa kama sheteni anapajaribu unategemea maraika walinzi wamfanyeje .......vijana wako sawa kwakile walochokifanya safi sana wanajeshi kwa kazi nzuri
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

    Wanawake wengine huwa sio riziki na kabla ya kuchumbia yakupasa ufanye uchunguzi kwanza.......R.I.P brother mbele yetu nyuma yako.......
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwahi kudhania kuna siku msichana wangu wa kazi atanibaka. Nimeumizwa sana

    Kwani hukuwa na tatu bomba ukaunganisha safari iliyo kwisha anzishwa na mwenzako........katoto keupe pengine kana sura ya ki pole na vi macho vya nye*g*e na vi makalio vilaini.....da!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Magari yenye vioo vya giza(tinted): Mkuu wa Mkoa wa Dar, wewe ni sehemu ya tatizo!

    Ama kweli nimeamini wa bongo walio wengi ni wanafiki sana......kwani nimajuzi tu mlio wengi mmetoka kuwalaum jeshi la police kuhusu tamko lao na leo hi tena mme ludi kuponda zuio la RC MAKONDA....Hizi chuki binafsi hazita tufikisha......tuzungumze hoja nasi chuki binafsi....
Back
Top Bottom