miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,021
Hizo zifa zinatakiwa ziandikwe na wanawake.
Hapana unapofanya utafiti fanyia kazi makundi yote mawili,ukaghone ubhukatale
Hizo zifa zinatakiwa ziandikwe na wanawake.
MuelezeHaya yote yanafanywa na mke wangu....nini nifanye ju ya tabia hizi kwa mwenzangu...?
Achana na mapenzi .Tafuta hela na kula vizuri1. Anaficha hisia zake:
Anaweza akakwambia kila kitu, lakini asikwambie jinsi siku yake ilivyokuwa, hapo kuna uwezekano mkubwa huwa anamweleza mwanaume mwingine. Kama hakuambii kuhusu masahibu yanayomuudhi, furaha zake na huzuni, una sababu ya kuwa na hasira.
2. Hayuko wazi:
Tuwe wakweli, wanawake wako wazi zaidi ya wanaume. Lakini ukikuta mwanamke katulia kama mtungi na mara chache anachukizwa na wewe, uwe na hofu asije akawa mahusiano ya kimwili au emotional na mwanaume mwingine.
3. Anaficha au kufunika simu au kutoa mlio wa sauti muda wote:
Mtu huyu ukimuuliza, atakwambia kwani yako ninashikaga? Atadai watu wanaopendana wanaaminiana. Wasiopendana hawaaminiani.
4. Hazungumzii mengi ya makusanyiko ya watu alipoenda:
Labda anapenda kwenda sana harusinu, akikuacha wewe, hatokueleza kilichotokea huko maana labda kuna mtu anaongozana naye, au anakuwa amepata muda wa kuwa na mawasiliano na huyo ampendaye.
5. Huwa hawi na 'mudi':
kama katika mahusiano yenu wewe ndio umekuwa waanza kuomba tendo la ndoa mara zote ujue umeliwa. Kama hukumbuki lini mlifanya mapenzi na wala yeye hajali una haki kuwa na wasiwasi naye.Mwanamke anapokuwa amepunguza hamu ya tendo la ndoa au kuonana ana kwa ana ujue mapenzi yake yapo sehemu nyingine.
6. Ghafla kabadiri mwonekano wa nje: Japo ni kitu cha kawaida kujipamba kimavazi, nywele, viatu n.k. Lakini kuna mabadiriko yasiyo ya kawaida ambayo yanaweza yakawa dalili za yeye kuanzisha mahusiano mapya.
7. Anadhani hujiamini: Mwanamke akiwa na hisia za wewe kutojiamini una haki ya kuwa na shaka kwamba ana mahusiano na mwanaume mwingine.
8. Hajali matokeo ya kile anachojibu:
Mwanamke ambaye ana majibu yasiyo ya kuridhisha na mafupi mara nyingi anaonesha kutojali. Hisia zake zinaweza zikawa sehemu nyingine. Mfano anakujibu amini utakalo.
9. Hataki um follow kwenye social media kama facebook, Instagram, Twitter: Maana kuna vitu anaficha.
10. Anashinda Whatsapp au Viber huku aki ignore text zako. Na ama anatuma sana sms kwenda kusikifahamika hata mkiwa pamoja.
Vice versa1. Anaficha hisia zake:

Hii ya 10 kunaambae niko naye tangu majuzi ni anchati Huyo akija geto anakaa anachati weeee, eti nini wadauNadhani zimeleweka hazihitaji ufafanuzi wowote
Hii thread imeniumiza Sana[emoji24][emoji24]1. Anaficha hisia zake:
Anaweza akakwambia kila kitu, lakini asikwambie jinsi siku yake ilivyokuwa, hapo kuna uwezekano mkubwa huwa anamweleza mwanaume mwingine. Kama hakuambii kuhusu masahibu yanayomuudhi, furaha zake na huzuni, una sababu ya kuwa na hasira.
2. Hayuko wazi:
Tuwe wakweli, wanawake wako wazi zaidi ya wanaume. Lakini ukikuta mwanamke katulia kama mtungi na mara chache anachukizwa na wewe, uwe na hofu asije akawa mahusiano ya kimwili au emotional na mwanaume mwingine.
3. Anaficha au kufunika simu au kutoa mlio wa sauti muda wote:
Mtu huyu ukimuuliza, atakwambia kwani yako ninashikaga? Atadai watu wanaopendana wanaaminiana. Wasiopendana hawaaminiani.
4. Hazungumzii mengi ya makusanyiko ya watu alipoenda:
Labda anapenda kwenda sana harusinu, akikuacha wewe, hatokueleza kilichotokea huko maana labda kuna mtu anaongozana naye, au anakuwa amepata muda wa kuwa na mawasiliano na huyo ampendaye.
5. Huwa hawi na 'mudi':
kama katika mahusiano yenu wewe ndio umekuwa waanza kuomba tendo la ndoa mara zote ujue umeliwa. Kama hukumbuki lini mlifanya mapenzi na wala yeye hajali una haki kuwa na wasiwasi naye.Mwanamke anapokuwa amepunguza hamu ya tendo la ndoa au kuonana ana kwa ana ujue mapenzi yake yapo sehemu nyingine.
6. Ghafla kabadiri mwonekano wa nje: Japo ni kitu cha kawaida kujipamba kimavazi, nywele, viatu n.k. Lakini kuna mabadiriko yasiyo ya kawaida ambayo yanaweza yakawa dalili za yeye kuanzisha mahusiano mapya.
7. Anadhani hujiamini: Mwanamke akiwa na hisia za wewe kutojiamini una haki ya kuwa na shaka kwamba ana mahusiano na mwanaume mwingine.
8. Hajali matokeo ya kile anachojibu:
Mwanamke ambaye ana majibu yasiyo ya kuridhisha na mafupi mara nyingi anaonesha kutojali. Hisia zake zinaweza zikawa sehemu nyingine. Mfano anakujibu amini utakalo.
9. Hataki um follow kwenye social media kama facebook, Instagram, Twitter: Maana kuna vitu anaficha.
10. Anashinda Whatsapp au Viber huku aki ignore text zako. Na ama anatuma sana sms kwenda kusikifahamika hata mkiwa pamoja.
Shida nini mkuuHii thread imeniumiza Sana[emoji24][emoji24]
Ulivotoa barua ulitakiwa umuoe chap...mwanamke ana mawazo mawili mawili ata kama umemtolea barua ataachana nao ukimweka ndani anakua na amani...barua sio ndoaMkuu umeongea kweli kabisa nilikua na mpenzi wangu ambae nilikua nimesha enda kwao kujitambulisha na process nyingine nilikua nimesha fanya ilikua imebaki mahali tu
mabadiliko yakaanza mara nyingi sana alikua akinibana kufanya mapenzi pindi anapo kuwa na ham tu alikua ananipigia simu mfurulizo siku ambyo nimepata muda wa kushinda nyumbani lazima aje vilevile sms zangu kwenye simu alikua hafuti hata mimi nilikua sifuti sms zake
Ghafla akawa si mtu wa kunibana kama mwanzo mpaka mimi niamwambie aje wakati mwengine mpaka nianze kumbembeleza mara nkikagua simu yake sehemu ya sms nakuta empty nikanza kua na wasiwasi nikaanza kumfuatilia taratibu bila yeye kujua mwisho wa siku nikagundua ana cheat na nikapata habari zake zote kutoka kwa rafiki yake wa karibu.
Kipindi chote cha mwaka mmoja na nusu kwenye mahusiano yetu alikua hana mtu ndo mana alikua karibu sana na mimi ila mara tu alipoa anzisha uhusiano na mwanaume mwengine ndo mabadiliko yakaanza nilicho fanya nilimuita nyumbani nikamuambia mambo yake yote ndo ikawa mwisho wa uchumba wetu.
Baadae rafiki yake akaniambia jamaa kamtema kipindi hicho alianza kunisumbua akitaka turudiane nae ukiwa kwenye mahusiano kunavitu inabdi uvifuatilie ukiona mabadiliko chukua hatua mapema