Recent content by John Luziga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Stamina,One incredible,Stereo na Songa

    Songa ni solo mc,je we ni player? Njoo uchezee liboro fc. Songa anajua. Japo narusha heshima kwa WANATAMADUNI music wote na ma mc wa HipHop ya kweli Tanzania.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dear Wema...

    Wema is lost
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hajafanya mapenzi anavimba maziwa. Ni kweli?.

    Yote yanawezekana,lakin hexhima ya xhemeji na hofu ya Mungu itawale.
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania INAWEZEKANAJE mtoto wa kiume kubakwa na ukabakika na demu?mimi huwa siamini hili

    Tabora Girls alishabakwa muuza barafu nusu apoteze uhai wake,vichaa wanapeana mimba wenyewe nilshashuhudia zaid ya vichaa wanne wake 2 waume 2 wakigegedana mchana kweupe. Ila wanajukwaa mnanifurahsha xana. Hongera kwenu
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wakwel wapo jamani

    Wanajamvi hakuna m2 hapooo! Hebu kwanza atuoneshe wanawake waukweli. Maada kama midume ya ukweli 2po wengi sana,mi mmoja wapo.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hiki ni Kiswahili cha wapi? Binafsi Sikikubali!

    Kwanza tuondoe mitazamo ya kwamba heti lugha ya Kiswahili haikidhi haja kutokana na kuwa na misamiati michache. Halafu 'kuchocha' ni neno linaloweza kutumika kuwa mbadala wa hilo neno la kiingereza,kwa maana kinachoangaliwa katika mazungumzo ni dhana gani inalengwa wakati huo,. Lakin sisi wenye...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mfahamu vizuri mwanasiasa mashuhuri John Mnyika katika historia ya maisha yake.

    Waungwana wa jukwaa letu tamu,ninapenda nifahamishwe vizuri historia ya mwanasiasa huyu John Mnyika mbunge wa Ubungo jijini Dar-es-salaam. Tangu alipozaliwa.shule na maisha kwa ujumla. Ahsante.
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ni Muiraq vs na huyu ni Mgoni.

    Ninafikiri kitabu chako kimekoxa jina la kukipeleka sokoni,haya kamata hilo MAKABILA 120 TANZANIA NITAYAMALIZA?
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

    Xaxa hpo mbona hapana xhaka? Au kwkuwa huyo jamaa n blaza wako? Asingekuwa? Ungechukulia poa e!?
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wavulana mna matatizo gani??

    Hatukatai binti kupewa haki ya kutoa maamuli,lakim binafsi hawez kuniletea mambo ya masenge nitakapo kula mzigo,hata km ndio mara yke ya kwnz kukutana na mimi. Kwa ufupi tamthiliya zinawaharibu vivulana,hasa hv vnavyodhani kujiliza kw videmu ndio kula mzigo
Back
Top Bottom