Huyu ni Muiraq vs na huyu ni Mgoni.

Uyo dada muiraq safi sana kw kuchangamkia fursa,ya nini unaremba miaka wkt mtaishia palepale,..na we mwanaume cjapenda unavowachanganya cz mwsho wa siku lazma utamuumiza mmoja wao,..dalili znaonyesha unamfagilia sana muiraq endelea nae
 
ACHA KUWAPOTEZEA WATU MUDA !!! ULIVYOFANYA YOTE HAYO HUJUA UNACHOKITAKA !!! KESHO UTALETA HADITHI YA MMAKONDE, MWARABU n.k.
 
kwanza wewe ni malaya,laiti ungekuwa mtoto wa kike ,ungekuwa kahaba,huwezi kuchezea watoto wa watu then unakuja kuomba ushauri kwetu,imagine mtoto wako/watoto wako wafanyiwe ivo utajisikiaje,nakushaur muoe mwenye ujauzito,kwani ,anajitambua kuliko kuoa muuaji,
 
wakati mwingine unaweza kutoa ushauri na kujikuta unatenda dhambi, hapa sitoi ushauri ng'o
 
JERYSON sikubaliani hata kidogo na unachokisema maana in its totality ni kama unaomba uchaguliwe mke!!!! It is very wrong Mpwa, mimi nimeoa mwanamke WA Kibondei na life goes on but mwanzoni walisema Eti mwanamke WA Kibondei (Tanga) wanaishi kwa mafiga (wanaume) matatu.

Try to be different, show them who you are and what you stand for....
 
Last edited by a moderator:
wote wawili si waTanzania.. muIraq ni ndugu na Sadam kule karibu na Afganistan na huyo mwingine nadhani ni Mu-ogoni kabila la Ken Saro-Wiwa, la wa-ogoni kule Nigeria..

Hivyo wote wawili operesheni kimbunga itawakumba..wakatie kwanza passport...
 
Division FIVE tu inamsumbua manake hata hajielewi hivi ukioa mmoja wapo wewe utamheshimu kama mke wakati ushaweka hadharani alivotoa mimba na jinsi walivokukubalia kirahisi wewe? shame on you utoto tu unakusumbua hata uwezo wakuoa ukute huna.... kufeli shule si kufeli maisha jaribu hata ufugaji..
 
Habari zenu wana Jf hasa wa humu humu jukwaa pendwa!
Bila kupoteza muda,ninatatizwa na hili kila nikitaka kuoa au kuamua niishi na nani.
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nilikuwa kwenye mahusiano na binti wa kingoni,tuliishi vzuri kweli japo tulikuwa tunakwazana kidogo kidogo,yule mgoni kiukweli hakuwa mtu wa kupenda vitu nisivyoviweza,alikuwa mtaratibu. Sasa wakati nipo naye kama mpenzi wangu nikaja nikaleza pembeni nikawa na binti kabila lake Muiraq ila mama yake ni mbena. Huyu binti muiraki kwa umbo la nje kampita mgoni kwa mbaali,ni mrefu,ana natural hair ndeefu,mweupe na si wa mkorogo,mzuri wa sura na shape! Kwa mgoni yeye ni mfupi mweupe kwa mbaali,ila naye ana figure nzuri.
Lakini hapa kila mtu nilimpata katika mazingira tofauti,mgoni kumpata nilihangaika saana nilimfuatilia kama mwezi hivi,lakini yule muiraq nilimtongoza J'4 asubuhi akanipa jibu J'5 na J'pili nikaomba mchezo akanipa.
Sasa bandugu,jingne huyu mgoni nilimpaga ujauzito akaja akautoa mimi bila kujua ila alipodhoofika kiafya ndo akaamua aseme ukweli kuwa aliabort. Na yule muiraq nimempa ujauzito mwezi wa 9 mwaka huu,lakini hataki hata habari ya kutoa mimba! Sasa kila mtu ana sifa tofauti,nataka nioe mmoja tu! Nimwoe yupi na nimwache yupi? Kuna story ndeefu kuwahusu lakini nimeonelea niandike kwa kifupi!
Comments wadau..


MuiRaq au mMbulu huyo aliyekujibu kesho yake ndo ana msimamo maana hao chupi mkononi kama Wachagga au Mnyaturu,,,wao ni NDIO BABA hawana hayana hata kidogo
 
Back
Top Bottom