Recent content by john gongo

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

    Huyo atakufanya ndindindi chomoka mapema
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwana JF, afiwa na mama mzazi

    R.l.P
  3. J

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa RC wa Mwanza: Unapokea mshahara, unakula na mkeo halafu mimi nakufanyia kazi zako

    Mimi naona mkuu wa mkoa yuko sahihi huwezi kuruhusu vyombo vibovu viendelee kuua watanzania wasio na hatia
  4. J

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa RC wa Mwanza: Unapokea mshahara, unakula na mkeo halafu mimi nakufanyia kazi zako

    Watanzania tunakuwa wepesi wa kusahau hivi tumesahau ajali nyingi za majini zilizo ua ndugu zetu chanzo ni utendaji mbovu na kutosimamiwa vizuri vyombo hivyo? Hebu amkeni acheni siasa utendaji kazi wa kukaa ofisini na kusubiri repoti umepitwa na wakati
  5. J

    JamiiForums Tanzania Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

    Kuna kitu nyuma ya pazia anacho kijua yeye
  6. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Hakuna wa kumkamata mchawi kilichobaki wao na pesa zao na ss na malizetu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini akibeba Boksi

    Hii sasa imekuwa shida
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu anakoelekea siko

    Ok sisi yetu macho
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Diamond Ashinda Njaa

    Diamond hakupaswa kumchukia mzee wake eti kisa alikuwa haelewani na mama huo ni ugomvi wa wazazi ambao wewe hupaswi kujua unaki kuwa siri yao kumbuka aibu hiyo unapata ww na simwingine
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 8 wa JWTZ watiwa mbaroni wakituhumiwa kumuua raia waliyedai kawaibia simu yao

    Ifike mahali tuwe na roho za huruma hata kama ikitokea kweli alichukua lakini si kwa adhabu hiyo ninavo jua mm mahakama peke yake ndiyo inayo weza kumhukum m2 hadi adhabu ya kifo kulingana na kosa niseme2 poleni wafiwa kwani inasikitisha sana
Back
Top Bottom