Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini akibeba Boksi

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini akibeba Boksi

Huyu ni KIRUSI wa mzee wa Msoga; hafai kwenye timu ya Magufuli hata kwa chembe!!
 
Eti kubeba box ni hapa kazi tu,hayo DC ni misifa by nature.... Je hao wanao beba magunia 24/7 tutawaambiaje?
Tatizo hayo kasesera ni mtu anayependa sofa tokea zamani hata huo UDC kaupata kimisifasifa
Kasesera aka dibo aka mchezaji wa kikapu zamani

Ovaaa
Huku sasa ni kuwa Juha Kalulu ..nafikri watu hawajaelewa Dhana ya hapa kazi tu.......kila mtu anatakiwa kuwajibika kwa kazi yake

Kama DC au watawala wafanye kwa makini kwa bidii Yale yote yaliyo kwenye Job description ...zao
Kama ni mesenja pia ..Kama mfagiaji ..au kuli wa kupakia mizigo

Sasa sidhani Kama tutapima utendaji wa Mkuu wa wilaya kwa kuangalia uwezo wake wa kubeba box

Au kumpima waziri kwa uwezo wake wa kufagia...........

Anaweza kufanya kwenye matukio Maalum Kama siku ya usafi na kadhalika ....lakini sio ndio iwe utaratibu.....

Kwenye Tukio la ajali DC ataangaliwa namna anavyoweza kuratibu...mambo yakaenda na sio kukimbilia kupiga picha
 
Akijutoa kwa jamiii, mnasema, akikaaaa ofisini mnasema, kweli binada
mu hamna wema
Kujitoa kwa jamii ndio kubeba box au mtu mgongoni?wonders never end.Kwa hiyo kujitoa kwa namna hihi kutatufanya 2025 kuwa middle income countries?,we still have a long way to go to become Middle Income country after 50 years of independent.
 
inatia keto kweli umaarufu unapatikana kwa njia hii?????
 
Nikajua ni yule mbeba box wa ughaibuni manake na yeye ni wa Iringa huko huko.
 
Viongozi wenye maigizo kama huyo Jpm ndo anawapenda msije shangaa akapewa ukuu wa mkoa halafu Jpm akasema anatukomoa ili tuendelee kumsema! Mfano Makando.
Mkuu umegonga kwenyewe. Watu wameshamsoma Magufuli tayari. Wameshajua anavutiwa na watu wa aina gani. Na wameshajua wafanye nini ili wamvutie. Mimi nilipoona Makonda anasifiwa nikajua hii nchi wote tu wagonjwa. Ni maigizo kwenda kwa mbele. Athari zake ni mbaya sana na zitadumu kwa muda mrefu. Watu hasa viongozi hawatafanya kazi kwa bidii ila kila mmoja atajitahidi kuigiza aoneka anafanya kazi. Athari zake zitaenda mbali sana. NB: Halafu kingine nilichogundua ukitaka kupata uteuzi wa Magufuli kirahisi sana fanya vitu vitakavyokufanya uandamwe na kuchukiwa na wapinzani/wakosoaji wa serikali. Kwa sasa imekuwa wapinzani/wakosoaji wa serikali wakikuandama tu basi ni tiketi ya Magufuli kukupenda.
 
Kwa nini mnakosa adabu?
Huyu ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya,mjumbe wa CCM na mkuu wa wilaya ya Iringa.
Kwani anakunya moto? Mbali ya vyeo vyake? Ni binadamu kama sisi. We kama unamwabudu elewa unatenda dhambi anayepaswa kuabudiwa ni Mwenyezi MUNGU pekee.
 
Nollywood zaidi ya bongo movie
1459262768943.jpg

Eti akila mahindi anaita waandishi wa habari[emoji12]
 
...
Mkuu wetu wa wilaya ya Iringa akiwa amebeba box huku akitizama camera...
Nyuma ya huyo aliyebeba boksi mbona ni kama mama yetu yule wa 'Mh. Lissu majibu....'' au alikuwa namsaidia kubeba. Njombe na Iringa Karibu.
 
Back
Top Bottom