Mwana JF, afiwa na mama mzazi

Mwana JF, afiwa na mama mzazi

Kwenye Tangazo hapo ,Marehemu ameacha mtoto mmoja Grace-Linda Pascall Mayalla na mjukuu mmoja Sarrah-Patricia

Sijaelewa kabisa ,Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
 
Wanabodi,
IMG-20160828-WA0024
Binti wa huyu dada aliyefariki ni mwana jf mwenzetu. Amefiwa na mama yake mzazi.

Paskali
hii taarifa mbona kama tuna`calculate hesabu?andika vizuri hata kama mmefiwa,maana kusoma tu kichwa kinauma,mbaya zaidi sijatoka na chochote ulichokiandika,POLENI KWA MSIBA!
 
Mi nimeelewa zaidi kilicho andikwa Kwenye picha .....pole Sana mkuu ....."RIP mum n may her soul rest in eternal peace ......Amen "
 
Nilivyoelewa, pascal kafiwa na mkwewe.

Pole kwako pascal na mama mtoto wenu kwa kuondokewa na mzazi. Pia kwa Mtoto wenu kumpoteza bibi yake.

Kama nimekosea mnisahihishe
 
Nilivyoelewa, pascal kafiwa na mkwewe.

Pole kwako pascal na mama mtoto wenu kwa kuondokewa na mzazi. Pia kwa Mtoto wenu kumpoteza bibi yake.

Kama nimekosea mnisahihishe
Soma tangazo hilo la picha vizuri.
Mi nimeelewa zaidi kilicho andikwa Kwenye picha .....pole Sana mkuu ....."RIP mum n may her soul rest in eternal peace ......Amen "
 
Hili tangazo halieleweki. Tafadhali Bwana Pascal Mayalla ungetoa ufafanuzi ili wanajumuia wakuelewe!

img-20160828-wa0024-jpeg.389195
 
Back
Top Bottom