Recent content by Johmozz

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Habari mkuu, mbwa wangu kapoteza sauti, tatizo ni nini mkuu. Yani akibweka sauti inakuwa kama mtu mweny kikohoz vile
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta connection na dealer wa spare za magari hasa za fuso aliepo dar
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

    Ndio pikipiki Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

    Injini ya yamaha xt ,4 valve cc 250 ipo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya damu ya hedhi na mboga/majani kukauka?

    Ata kwa wachimbaji, ni marufuku mwanamke kusogea karibu na duara akiwa kwny cku zake za hedhi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu yanapopatikana mabelo ya viatu kwa Mkoa wa Mwanza naomba msaada

    Mlango mmoja ,unaweza kuanzia hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    JamiiForums Tanzania Si kweli Mzungu ana akili kuliko mtu Mweusi

    Karne ya 15 africa n europe were almost the same in levels of development, techology, education, science, so hayo mambo kuhusudiana na yakaleteleza gap. Utumwa ni wewe mwenyew ukiukataa wewe si mtumwa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    JamiiForums Tanzania Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Silver kwa wingi ipo mafinga katika migodi ya ihanzutwa ni ya dhahabu pia
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbwa huyu ni chotara wa aina gani?

    Atakuwa ni cannadian rapreid. Huwa ni active sana especially majike
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hii iPhone siielewi

    Tunafanyaje chuff, mana mm yangu inanandikia no service na line nmeweka. Sijanunua mnadani lkn, imekuwa tu ivi gafla ila ilikuw vzr apo awali
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nikikaa na kiu kwa muda mrefu mfano kama masaa 6 alafu nikinywa Maji natokwa na Jasho

    Ni khali tu ya mwili katika kushusha joto la mwili mkuu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba ekari 20 kwa milioni 4

    Kuna mtu alikuwa anauza ekari 1.5 tsh 6mil.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Bachelor of education in early childhood na diploma C.O ipi bora

    Km una sifa madhubuti za clinical office c mbaya pia. Bed.ya early childhood si hapa still ina fursa pia
Back
Top Bottom