Martine Tibe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 221
- 160
- Thread starter
- #101
Nakpa tuuNaomba ear4n mkuu.
Nakpa tuuNaomba ear4n mkuu.
Nimekoma kbsaaaKwanza iphone kuwa na hisia za shoti kwenye cover wakati wa kuchaji sio ubovu bali inasababishwa na Aina ya chaja inayotumia. Cover lote la iphone ni alluminium na limeiunganishwa na ground.
Kununua vitu kwenye minada ya eletronics ni utapeli wa aina yake, wale jamaa hawauzagi vitu vizima vya elektroniki. Kikiwa kizima wanapigiana dili wenyewe au wanakuja na bei ambayo sio ya mnada.
Uhuni wao, ukishalipia hawatudishi wala kubadilisha na hakuna warranty. Wanadanganya kwamba wamekichukua kwa mdaiwa kama kilivyo, wakati kuna vitu huwa wanatoa kwa mafundi vikiwa vibovu , vingine unakuta vina hali mbaya kabisa yaani SCRAPER kabisa.
Usinunue Simu wala laptop wala Tv wala chochote cha electronics kwa hao jamaa utalia bure, mimi nilishanunua simu enzi hizo Motorola V220 kimeo, nikanunua Blower Kimeo, nikanunua Simu ambayo ndani imechomwa chomwa hata cable ya screen imepachikwa juu juu.
Labda ununue GODORO au Vyombo vya plastic kwa hao wahuni.
Mnh umeshaliwaSakasaka Mao, Nilinunua laki 4 juzi tu ila si dukani ni kwenye mnada wa vitu.
View attachment 1252584View attachment 1252585
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Umenichekeshawakuu mnavyokazania feki inaniuma kama nmenunua mimi. Laki4[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] nnavyoitafuta hata 1/8 yake halafu watu wapige mpunga mrefu huo mngenikuta Nungwi naelea
Pole sana minadani umejifunza huwezi rudia nunua kitu tenaSakasaka Mao, Nilinunua laki 4 juzi tu ila si dukani ni kwenye mnada wa vitu.
View attachment 1252584View attachment 1252585
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pumbafu kaelee ,Piga Moyo Konde ,Utafanikiwa ooohooo , na kwasababu imekuwa hivyo sioni sababu ya kujitundika ...wakuu mnavyokazania feki inaniuma kama nmenunua mimi. Laki4[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] nnavyoitafuta hata 1/8 yake halafu watu wapige mpunga mrefu huo mngenikuta Nungwi naelea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Umenichekesha
Dah ila laki 4 jamani sio ndogo
Tena Sana sifnyi ipmbav tnaPole sana minadani umejifunza huwezi rudia nunua kitu tena
Kama ni ya mnada its fake,na huwa zina matatizo yanayokuja na kupotea.Inaweza kuwaka na kuzima au kuzima jumla.Kwa hiyo mwonekano wake ni fake bro...Is not black/dark all the entire screen...Sakasaka Mao, Nilinunua laki 4 juzi tu ila si dukani ni kwenye mnada wa vitu.
View attachment 1252584View attachment 1252585
Tunafanyaje chuff, mana mm yangu inanandikia no service na line nmeweka. Sijanunua mnadani lkn, imekuwa tu ivi gafla ila ilikuw vzr apo awaliMmmhh kama ingekuwa imeandika "emergence call " ningeweza kukusaidia.
Alafu ni iPhone gani? Maana ya kwangu ilikuwa ikizima nikiweka kwenye chaji inawaka yenyewe.
Hiyo ni fake jombaaSakasaka Mao, Nilinunua laki 4 juzi tu ila si dukani ni kwenye mnada wa vitu.
View attachment 1252584View attachment 1252585
Juzi nilinunua simu aina ya iPhone NJ, nilipoiwekea simu card ikaandika emergence call. Nikabadili SIM card tena ikaandika emergence call, na chaji ilikuwa imekaribia kuisha, ilikuwa na 1% ambapo baadae ikazima kabisa.
Nikaamua kuichaji, nilipoichaji kwa muda ilionyesha inapeleka lakini nilipoiwasha haikuwaka kabisa na sasa haipeleki chaji hata kidogo na ukiishika kwa pembeni kuna kama shoti.
Je nifanyeje?
Kutapeliwa haina maana ww ni mjinga sana ila ndo kujifunza na huwezi rudia mistake .Tena Sana sifnyi ipmbav tna