Recent content by Jogoli

  1. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

    Mziki asili yake wapi- dr remmy. Zamani raha sanaaa😊😊
  2. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Maji ya Mvua meusi

    Hii hali ya maji ya mvua kuwa meusi nimei-notice pia hapa mkoani KATAVI, mara ya kwanza nilihisi chombo kilichotumika kukinga maji labda kilikuwa nikichafu, bahati nzur nimekiosha mwenyewe na mvua ikanyesha tena siku ya leo, lakini cha ajabu maji bado yanaonekana ni machafu(meusi) licha ya bati...
  3. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Huo ni ukweli usio na shaka!!!
  4. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

    Uzi mzuri ila shida hauna kiambata cha picha hata moja.
  5. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip atimiza miaka 99

    Ndiko unakoelekea(uzeeni), Mwenyezi Mungu akikujalia kufika salama ukumbuke kutupa mrejesho
  6. Jogoli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ulifanikiwa kuoa mapema tueleze hali ya maisha mpaka sasa

    "Kama haujaoa haujakua,hata kama una umri zaidi ya miaka 50". Waliooa wamenielewa hata kama walioa kwa kuwahi au kuchelewa.
  7. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu!

    Nashukuru sana "mtumishi" nitazingatia ushauri wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu!

    Mkuu hii comment yako imenifikirisha sana, ni kweli Mimi na familia yangu tunapenda sana maharage, japo si Mara kwa Mara lakini wiki haiwezi kuisha bila kuyala. Je comment yako ipo kitaalam zaidi, au ipo kihisia zaidi.? Ntashukuru kwa ufafuzi zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu!

    Nashukuru kwa ushauri, ntaufanyia kazi kuanzia Leo. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu!

    Punguza mizaha mkuu, tatizo ni zuri likiwa kwa mwenzio Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu!

    Mkuu hakuna ninachokumbuka zaidi ya hapo, na Mara nyingi hutokea mda mchache tu baada ya kulala. Pia nashindwa kuelewa kama ni ndoto kweli au ni kitu gani, maana huo mlipuko ukitokea usingizini nikishtuka najiona kuna hali ya mwili kutikisika kweli (katika ulimwengu halisi). Sent using Jamii...
  12. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu!

    Amen! Ubarikiwe kwa ushauri na maneno yenye hekima Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu!

    Nimekuwa nikiota kitu kama ndoto ya ajabu, sikumbuki vizuri huwa inaanza vipi, lakini ninachokumbuka huishia na kulipukiwa na kitu kama Bomu usoni kwa nguvu "Puuuuuuuuuh!". Wakati mwingine nahisi kama kichwa kimesambaa. Huo mlipuko ukishatokea tu hujihisi kama nimerushwa, na hapo nashtuka...
  14. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye uchumi wa kati raia wake hufa kwa kugombania mafuta?

    Vy tiyhyv . . Hutuy6 htf
  15. Jogoli

    JamiiForums Tanzania Picha: Hizi ni dalili za ugonjwa gani?

    Mkanda wa jeshi
Back
Top Bottom