Hii ni tuzo ya pili kwa mradi huu wa mabasi ya BRT (UDART) ndani ya mwaka huu tu...
Hongera sana JIJI, Hongera DART, hongera UDART.....
Lakini pongezi za pekee ziende kwa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam mwanzoni mwa miaka ya 2000, Mzee Kleist Sykes (RIP), kichwa kilichofikiria na...