UDART yaongeza mabasi 70

UDART yaongeza mabasi 70

Wawe wanaweka Na ya wanafunzi, maana watoto wanafinywa kwenye bus hatari
 
kwamba hata sisi wakulima wa tumbaku tukivunja vibubu tunamilki hayo mabehewa!! dola 260 yaani pungufu ya laki 6 au kuna digits zumeachwa?
donatila kuwaga serious saa nyingine
Kuna makosa hapo. Nimesikia Newe akisema ni USD 270,000! Almost Sh milioni 600 kwa basi moja
 
Kwa shida ya usafiri wa hayo magari ninayoisikia huko, sitaki kuamini lama kuna magari 250 barabarani yanayotoa huduma kwa wananchi. Kama kweli magari hayo yapo barabarani then kuongeza hayo 70 kwa ajili ya kutatua changamoto iliyopo ni upuuzi mwingine ulio zoeleka
dah kijwete Ni mchawi kabisa. Yani hili dili la udart kapiga hela ndefu Sana Na tutamlipia huo mkopo Hadi vitukuu. Eti imetumika billion 600 hapo jamaa kapiga panga Kama 400. 200 billion ndio imetumika kulipualipua mrad
 
Sidhani kama tatizo ni uhaba wa mabasi UDART, tatizo ni kuwa wanataka super profit kwa kuondoa mabasi mengi baabarani baada ya saa 5 asubuhi hadi saa 9 alasiri ambapo unaweza kusubir zaidi ya nusu saa. Kwa siku za Jumapili unaweza kusubiria basi kwa zaidi ya dk 45.

Vv
 
UDART wana magari 140 tu na siyo 250 kama unavyosema na kwa ujio huo wa 70 sasa watakuwa na mabasi 210 kwa ujumla wake.
Nashukuru kwa kuni rekebisha. It was just a typo but the content remains.
 
dah kijwete Ni mchawi kabisa. Yani hili dili la udart kapiga hela ndefu Sana Na tutamlipia huo mkopo Hadi vitukuu. Eti imetumika billion 600 hapo jamaa kapiga panga Kama 400. 200 billion ndio imetumika kulipualipua mrad
Duu! Chuki zitakuuua!
Acha kumpakazia uongo mzee wetu.
 
Una subiría basi kituoni lisaa zimaaa .......hiyo Syo mwendokasi tena ni mwendapole

Ova
 
Mkuu hizo 1050 na 800 unazilipaje mbona ni 650!..
650 Feri hadi Kimara, jumlisha 400 Kimara hadi Mbezi inakuwa ngapi na wewe? Daladala ni bei gani ruti hiyo? Siyo 800?
 
Screenshot_20180216-150320.png
IMG_20180216_150340.jpg
IMG_20180216_151049.jpg
 
Biashara INOGILE. Hongereni UDART. Hongereni pia kwa 'wafadhili' wa mradi, bila shaka ni wale wale NMB...
 
Back
Top Bottom