Eng Patrick Mfugale Flyover TAZARA, kufunguliwa leo?

Eng Patrick Mfugale Flyover TAZARA, kufunguliwa leo?

Hii sawa.
Lakini itaeleta sana foleni sehemu nyingine.
Kwa mfano pale Ubungo pakikamilika foleni ya Mwenge, Magomeni au Buguruni kwa gari zinazoingia Dar itakuwa kubwa sana. Lakini itakuwa rahisi sana kwa zile zinazotoka
 
Huyo mfugale walipgana sana na magufuli kupata mfadhili wa hiyo flyover mpaka kufanikiwa na pia huyo mfugale ndie aliplan daraja la mwanzo kuvuka barabara na madaraja kibao ndio magufuli kuuona mchango wake akaombo tazara paitwe jina lake
 
wale jamaa zetu wa kupinga kila kitu lazima waje na ctor nyingine, bdo wana log...
 
Na ndie mkurugenzi wa mambo ya ufundi wa Stone... Stone hapo umuambii kitu, ndumba zote zato kwa huyo mzee...
 
White Elephants Projects, built with fishy Loans from China..

Hayo Madaraja na Reli yatakuza uchumi? After how many years na Riba za Mikopo?

Kuna uzalishaji wa kutosha kulipa hayo Madeni Au wamejenga miradi ya kuombea kura?

Pesa za wanyonge zinajengea fly over, Sasa nani atafurahia?

Mafao ya wafanyakazi wanyonge zinatumika kwa masilahi ya ki siasa na tumbo za wachache....

Ndio Maana wakaondoa FAO La kujitoa, ili Watanzania waendelee kuwa wanyonge na watumwa
 
Hilo ni flyover ya tazara hayo majina yenu mtayaita wenyewe.

Daraja la kigamboni, mkalibadilisha kuwa la nyerere lkn watu bado wanaliita Daraja la kigamboni.

Daraja la kilombero mkaliita sijui la magufuli, lkn watu bado tunaliita la Kilombero.
 
Nafurahishwa na huo ujenzi wa flyover lakini sifurahishwi na jinsi majina ya madaraja na mabarabara yanavyopatikana.

Kwanini isiitwe Shaban Robert Flyover kwa nia ya kumuenzi mshairi mkongwe wa Tanzania?.

Kuna wazee walipigania uhuru wa nchi, kwanini madaraja na barabara zisipewe majina yao kwa nia ya kuwaenzi na kuweka hai kumbukumbu za Taifa?.

Mfugale ni msomi na anashiriki katika kuimarisha ujenzi, hilo hakuna anayelipinga, lakini wapo watu ambao hawastahili kupotea akilini mwa watu, haswa akilini mwa vijana wa kizazi cha sasa.
 
huyo Shaaban Robert ameshiriki nini kwenye hiyo fly over? alishaanzishiwa mtaa bdo tu twendelee kufanya marudio wakati kuna watu wengne waliotoa mchango. hlf kwa kizazi cha sasa tunamuenzi hata hatukumuona, hizo bara bara alizopewa zinatosha.
 
Huo mkeka sasa, matrafic na mataa ya kuogoza wasiyaweke kwanza, waweke baada ya mwezi 1 raia tufurahie mkeka..
 
huyo Shaaban Robert ameshiriki nini kwenye hiyo fly over? alishaanzishiwa mtaa bdo tu twendelee kufanya marudio wakati kuna watu wengne waliotoa mchango. hlf kwa kizazi cha sasa tunamuenzi hata hatukumuona, hizo bara bara alizopewa zinatosha.
Shaban Robert katumika kama mfano tu mkuu. Ujumbe ni kuwaenzi watu ambao hawapaswi kusahaulika. Sisi tunakufa na wanakuja wengine, hao wanaokuja hawapaswi kutoifahamu historia ya majina muhimu kwa taifa lao.
 
Back
Top Bottom