barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Ila pia kwa nini abiria wanagombania SITI wakati hata ukisimama unawahi kufika??Ule upandaji kuna siku mtu atavunjika mguu au mkono
Ila pia kwa nini abiria wanagombania SITI wakati hata ukisimama unawahi kufika??Ule upandaji kuna siku mtu atavunjika mguu au mkono
Mwenye mabegi kiongozi.Yupi huyu mwenye mabegi hau huyu mwenye mkoba
OyeeeeCcm mbele kwa mbele Makonda oyeeee
Mzee was Denmark niaje?karibu brondbyYani hata picha tu weweee
Nitumie basi lakini malipo nitakupa faranga 3400.namjua huyo nitumie buku 10 nikurushie namba zake mapemaa
Mkuu umegundua madem wa kibongo wanapenda American Height,Ajua
Mimi siyo mfupi mimi nimepanda hewani halafu kibonge kidogo siyo kibonge sana kama lemutuz hapana mimi copirait na jb mpiana the mukulu
unapenda vitu vizuri halafu bahiri. We unadhani kumiliki mtoto laini kivile ni rahisi. Unaonea ubahiri kutoka mwekundu wakati ukiongea nae unamtumia laki si bora unipe fungu langu la kumi mapemaNitumie basi lakini malipo nitakupa faranga 3400.
Acha nitafute chenji nikutumie boss.unapenda vitu vizuri halafu bahiri. We unadhani kumiliki mtoto laini kivile ni rahisi. Unaonea ubahiri kutoka mwekundu wakati ukiongea nae unamtumia laki si bora unipe fungu langu la kumi mapema
Lengo sio kukwepa ushindani bali ni kuondoa/kupunguza foleni mjini kwa kuziondoa daladala kinachotakiwa ni kuimarisha usafiri km kuleta ushindani basi uwe ndani ya mfumo huo huo.Hayo ndio matatizo ya kufanya mambo na kukataa ushindani wamezifungia daladala nyingine ili wabaki wenyewe lakini mradi wenyewe ushawashinda
Waache kuwe na biashara ya ushindani
msimbazi hauna chenji rusha mwekundu kamili. Nilivyokuangaikia hapa nimempigia kumsalimia ili kucheki kama namba yake ni ile ile. Toto lina sauti kama mhudumu wa bombadierAcha nitafute chenji nikutumie boss.
Ahaa kasema mkutane pale safari bar kwa mzee Tarimo anakusubiri, lakini usinisahau hata vocha mkuuMwenye mabegi kiongozi.
Ule upandaji kuna siku mtu atavunjika mguu au mkono
Siku kukiwa na PANICK yoyote pale, stampede watakufa watu wengi tu. Hili sijui kama wanaliona.
Asubuhi nilijikwaa kwenye miguu ya watuUle upandaji kuna siku mtu atavunjika mguu au mkono
Asubuhi pale Kimara terminal huwa kuna hali mbaya ya msongamano wa abiria kuanzia kwenye kukata tickets hadi ndani kwenye kupanda ni kama vita vile abiria wanvyosukumana kupanda magari.
Sasa leo asubuhi ilikuwa hali mbaya zaidi kituoni ndani abiria wamejaa hakuna pa kukanyaga nje kwenye tickets nyomi kwenye machine za kuilingilia msongamano hatari na magari hakuna kwa hali ile kuna abiria kibao waliacha kukata ticket wakawa wanapenya kwa chini kwenye zile machine maana askari walizidiwa na abiria wengine walikuwa wanavutana mashati na askari ikawa advantage kwa watu kuingia bila kuwa na ticket.
Uongozi kwa hali ilivyo ni wazi mmeshindwa uendeshaji wa mradi huduma ni mbovu.