Dar na New York zapewa tuzo

Dar na New York wapi na wapi?
Hii ni tuzo ya pili kwa mradi huu wa mabasi ya BRT (UDART) ndani ya mwaka huu tu...

Hongera sana JIJI, Hongera DART, hongera UDART.....

Lakini pongezi za pekee ziende kwa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam mwanzoni mwa miaka ya 2000, Mzee Kleist Sykes (RIP), kichwa kilichofikiria na kubuni kuwapo kwa mradi wa usafirishaji abiria jijini Dar es Salaam ambao mbali na kupunguza tatizo la msongamano, pia ungepunguza uchafuzi wa hali ya hewa.

Mzee Sykes amefariki dunia, lakini ameacha legacy...
 

Attachments

  • TUZO newyork.jpg
    TUZO newyork.jpg
    76.7 KB · Views: 23
Ilisemwa kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili ya saa 3 usiku. Lazima kila mtu akubali kwamba JPM siyo wa mchezo, ni mbele kwa mbele!!

Kwani yeye ndiyo aliyojenga huo mwendo kazi MPE sifa JK bana
 
Back
Top Bottom