Baada ya serikari kuitangaza UDART kuwa kinara wa utoaji huduma bora mwaka 2017. Mimi ningependa AZAM wapewe no 1

Veyron

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
572
378
Habari wakuu!
Kiukweli Mi sikuridhika sana na serikari kuipa UDART kuwa kinara wa utoaji huduma bora.

Nakumbuka kuna mwaka huko nyuma serikari ilitoa tuzo Kwa kampuni ya SCANDINAVIA kiuhalali kabisa na miaka hiyo mabasi hayo yalikuwa Ni moto sana .nilikuwa nikikosa ticket ya mabasi hayo nabaki home.sitaki basi lingine kabisa...
Ile ilikuwa na uhalali kushinda tuzo miaka hiyo..


Kwa miaka ya sasa naona AZAM bado wanafanya vizuri katika huduma zao .upande wa TV zao zinaonyesha clear sana.meli zao Ziko kwenye standard sana.pia bidhaa zao bado ziko kwenye viwango vizuri.

Kiukweli hii kampuni haipati malalamiko sana kutoka Kwa wateja ukilinganisha na kampuni kama TIGO (samahani wahusika) na nyingine mnazojua.

Huwa nafurahishwa sana na uwekezaji alioufanya Huyu Ndugu bakresa halafu sio mtu wa sifa na ukiangalia kampuni yake inakua kila siku.

Ila zipo kampuni na Asasi binafsi kadhaa ambazo nazifurahia kiasi.
CRDB bank.
Barclays bank.

Bado sijawa na ukaribu na asasi nyingine labda wadau mtatujuza kwenye upande wa ndege huko na sehemu nyingine .

Hayo Ni maoni Yangu sijui kwenu wadau!
 
Du ama kweli tanzania kuna vituko UDART ipate hiyo tuzo? anyway hata hivyo ni ujinga coz wanaotoa hizo tuzo hawaitumii huduma ya udart hata wawajui adha yake.. waulizeni watu wa mbezi na kimara
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom