Recent content by joe 112

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye principle mbili katika vyeti viwili tofauti anaweza kwenda chuo?

    Ninachomaanisha ni kwamba ana principal passes 2 lkn vyeti viwili tofauti ana language B na Kiswahili ana D lkn ni vyeti viwili tofauti
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye principle mbili katika vyeti viwili tofauti anaweza kwenda chuo?

    Jamani naomba kuuliza mwanafunzi mwenye principal passes mbili kwenye vyeti viwil tofauti anaweza kwenda chuo , I mean ana D mbili vyeti viwili tofauti means cheti kimoja ana D moja na kingine D moja?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Na sidhani kama mheshimiwa atatengua uteuzi kwa kashfa hii ya kughushi vyeti na ukizingatia Mh anamuamini sana hasa kwa kugeuza upepo Wa njaa kuwa madawa ya kulevya hahahaha nawaza tu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Me nadhani wateuliwa waliwasilisha vyeti vyao na kuhakikiwa sasa sijui mechanism ipi ilitumika kwa RC nadhan kwa hizi tuhuma hata ucngz unakata jaman Ndo maana JPM alisema anatamani malaika ashuke kuzima hii mitandao
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye D mbili vyeti tofauti anaweza kwenda degree?

    Mwaka gani alimaliza???
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je ratiba ya mtihani wa kidato cha sita 2017 imetoka?

    IPO imetoka tarehe 2 mwezi Wa 5 means 2/5/2017 utakuwa siku ya j4
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je ratiba ya mtihani wa kidato cha sita 2017 imetoka?

    Imetoka kwenye web hakuna watu tunazo mtihani ni tarehe 2 siku ya j4
  8. J

    JamiiForums Tanzania Prof Ndalichako nae ajihadhari na kauli zake

    Vilaza Ndo watamchukia huyu mama na misimamo yake
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof Ndalichako nae ajihadhari na kauli zake

    Kati ya mawaziri waliofanya vizuri ni NDALICHAKO
  10. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama za uhamisho

    Siku hizi km 10 free no pay
  11. J

    JamiiForums Tanzania Shahada ya elimu(sayansi au sanaa)

    Alipitia advance au Ndo ile ya kuungaunga fafanua vzr kama alipita advance anaweza kuomba kubadilishiwa akafundisha sekondari kwa ninavyoelewa lkn kwa cert, dip and degree...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Yeah but utaenda chuo uandike barua na ueleze kwanini hukuripoti then watakupa barua ikionyesha udaiwi na chuo then utapeleka TCU utafanya reapplication
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuhusu haya mabadiliko ya grades za ufaulu?

    Kuna A. 100-81 B+ 80-71 B 70-61 C 60-51 D 50-40 S 40-21 F 20-0
Back
Top Bottom