Shahada ya elimu(sayansi au sanaa)

Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
265
225
Habari za muda huu wana-JF

Naomba kufahamishwa juu ya hili,

Je,mwalimu aliyesomea Stashahada ya Kawaida ya Ualimu Elimu ya msingi na baadaye akaja kusomea Shahada ya Elimu atakuwa mwalimu wa Elimu ya Msingi tu au anaweza kufundisha hata Sekondari?

Shukrani.
 

joe 112

Member
Aug 20, 2016
40
125
Alipitia advance au Ndo ile ya kuungaunga fafanua vzr kama alipita advance anaweza kuomba kubadilishiwa akafundisha sekondari kwa ninavyoelewa lkn kwa cert, dip and degree...
 

Mkonongo

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
315
250
Anaweza kufundisha, hata field wanafanyia sekondari na sio msingi. Japo sio lazima ukafundishe sekondari, unaweza kuwa na bachelor, master degee ama Phd na bado ukaendelea kufundisha msingi. Mshahara tu ndo utapanda kulingana na elimu yako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom