jitupori Senior Member Feb 22, 2015 199 76 Jan 13, 2017 #1 Naomba kujuzwa kama ratiba ya mtihani wa taifa wa kidato cha sita kwa mwaka 2017 kama ishatolewa tayari.
Naomba kujuzwa kama ratiba ya mtihani wa taifa wa kidato cha sita kwa mwaka 2017 kama ishatolewa tayari.
B Bacary Superior JF-Expert Member Jul 3, 2014 3,721 1,513 Jan 14, 2017 #2 Ilo bando lako si ungeenda kwenye website ya Necta kucheki we umekimbilia Jf kweli akili mali
J joe 112 Member Aug 20, 2016 40 29 Jan 18, 2017 #3 Imetoka kwenye web hakuna watu tunazo mtihani ni tarehe 2 siku ya j4
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,451 112,103 Jan 19, 2017 #5 Bado la kuingia JF lipo la kuingia NECTA hakuna, kazi tunayo.
J joe 112 Member Aug 20, 2016 40 29 Jan 19, 2017 #7 IPO imetoka tarehe 2 mwezi Wa 5 means 2/5/2017 utakuwa siku ya j4
sanchez255 Senior Member Jun 9, 2015 171 312 May 1, 2017 #8 ratiba hii hapa Attachments ACSEE+2017_+FINAL+DRAFT+26.01.2017+%281%29.pdf 142.4 KB · Views: 163