Mwenye D mbili vyeti tofauti anaweza kwenda degree?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
96
Wakuu Nina ndg yangu alifanya private candidate Mara mbili akapata vyeti viwili vyenye D MOJAMOJA KILA cheti JE akiomba degree kwa vyeti viwili atapa chuo?
 
D ya zamani now ni f ya mwaka 2016
Jibu Mubashara ila ungemuelewesha tu kua

Kwa miaka ya 2014 na 2015, TCU wanahitaji C mbili ambazo points zake =4

Kwa miaka yote iliyobaki TCU wanahitaji D Mbili ambazo points zake =4

N.B zote hizi zipatikane kwenye kikao kimoja cha mtihani

Meaning either mtihani wa kurisiti au mtihani wa mwanzo na siyo mitihani miwili
 
Wakuu Nina ndg yangu alifanya private candidate Mara mbili akapata vyeti viwili vyenye D MOJAMOJA KILA cheti JE akiomba degree kwa vyeti viwili atapa chuo?

Angewahi kufeli hivyo wakati wa awamu ya ' Nne ' angepata Chuo bila wasiwasi ila bahati mbaya kachelewa kufeli wakati wa awamu ya ' Tano ' hivyo ningeshauri tu hata asithubutu kuomba nafasi Chuo Kikuu chochote kile kwani HATOPATA ng'o na akifanya masihara hata applications zake zinaweza kutupiwa mbali.
 
Harnandez (kifaa changu kinagoma ku-quote).

Nahisi umekosea. Ni mwaka 2013 na 14, na sio 2014 na 15.

Kwa kuwa mfumo wa GPA ndo ilikuwa miaka hio 2013 na 2014.
 
We

Wewe ndio umekosea GPA ni 2015, 2014 zilikuwa division ila za kuchakachuliwa mfano points 9 ilikuwa two na sio one kama ilivozoeleka ila 2013 matokeo yalikuwa kama kawaida.
 
Weqe ndio unaye kosea kaka rejea TCU guide book ya mwaka jana
 
We

Wewe ndio umekosea GPA ni 2015, 2014 zilikuwa division ila za kuchakachuliwa mfano points 9 ilikuwa two na sio one kama ilivozoeleka ila 2013 matokeo yalikuwa kama kawaida.
Mwambie yeye ndo kakosea na arejee guidebook ya mwaka jana iko wazi imeeleza
 
Harnandez (kifaa changu kinagoma ku-quote).

Nahisi umekosea. Ni mwaka 2013 na 14, na sio 2014 na 15.

Kwa kuwa mfumo wa GPA ndo ilikuwa miaka hio 2013 na 2014.
Screenshot_20170214-231200.png
check hapo alaf urudi kuongea
 
Check muongozo wa TCU na akisha jua vyuo anavyopenda nashauri asome prospectus ya kila chuo kwani wakati mwingine wanaongelea hizo grade zitoke kwenye mitihani isiyozidi mingapi. Hii ni kujiridhisha tu usije ukapata ambush mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom