Ni kweli kuhusu haya mabadiliko ya grades za ufaulu?

Kijana unarisiti nin
Mbona umepanic
kama una risit acha tu maana hzo EEE zako ni principal mwakan naona faulo imechezwa nzuli sana uki mix na ajira za uaimu wa sanaaa rahaaaa sana viva ndalichako.TCU.HESLB.NACTE.NECTA
 
Unajua hizi stori za kubadilika grade hua zinaanza kama hivi.
Nakumbuka nilipokua skul kidato cha sita zilianza stori za kubadilika grades siku chache kabla ya mock
Baada ya mda kidg lile jambo likawa official.
So kwa wale ambao wana wadogozao wapo huko wawahimize kusoma kwa bidii ili yasije wafika ya kuwafika.
 
Back
Top Bottom