Recent content by jocefhurs

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

    Acha kumfananisha Rihanna na vitu vya ajabu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

    Taja vigezo ulivyotumia kubaini kutoka kwenye picha ili tuamini hii argument yako.
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

    Ungeweka na wewe picha yako ya hiyo jioni unayosema ili tuone utofauti.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wakaka mnakosea mnapodhani pesa ndo inayotuvutia kwenu

    Hakuna asiyetaka pesa dunia hii..everyone has a price the question is how much!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wakaka mnakosea mnapodhani pesa ndo inayotuvutia kwenu

    The baddest of all your enemy is poverty so this is where money come in picture. Tena ukiwa na huyo mume wako fanya faster sana akufungulie mradi uusimamie kabla hazijaamia nyumba ndogo. Tukija kwenye hiyohiyo nature uliyoisema unajua sisi wanaume ni polygamy in nature?.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Asili ya dunia ni dhambi na dhambi si hatia

    Mpaka pale mtu atakapo mbaka mwanao au kukuloga ili usifanikiwe ndo uje hapa kutueleza utamu wa dhambi.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kabisa kwamba Kansa na UKIMWI havina tiba au ni biashara za makampuni makubwa duniani?

    Cancer inawapelekesha balaa kama kungekuwa na dawa basi watu wao wa maana kama kina Steve Jobs wasingekufa .
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kabisa kwamba Kansa na UKIMWI havina tiba au ni biashara za makampuni makubwa duniani?

    Cancer ni habari nyingine hiyo huenda kweli hawana tiba but HIV ninawasiwasi upo kibiashara zaidi...cancer inawazingua hata wao kwa sana tu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Ukifikiri kwa undani utagundua hata kifo kikiondolewa kwenye hiyo circle utahoji kuhusu hayo mengine ni kwa nini tunayafanya kwa sababu yatakubore as unayafanya kila siku. Fikiria upewe hii mikikimikiki ya maisha milele ni lazima itafika point ulaumu tu. Na hata hiyo kula yenyewe ikiondolewa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Yap na yangepewa maana tungehoji uhalali na umantik wa maana hiyo so our wise creator akaamua kila ayape maana anavyopenda.
  11. J

    JamiiForums Tanzania A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    Hujui nguvu ya damu kwenye ulimwengu wa kiroho so just cool of. Halafu hebu fanya research ni mwanae katika context gani.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kweli kwa Muafrika ni tambiko

    Je huyo Simoni Kimbangu aliweza kumfufua mfu aliyekaa kaburini siku tatu kama Yesu alivyomfufua Lazaro.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kweli kwa Muafrika ni tambiko

    Halafu jina la Yesu mpaka leo linafanya maajabu jiulize ni kwa nini. There must be something special.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kweli kwa Muafrika ni tambiko

    Jiulize ni kwa nini Yesu amekuwa na nguvu hivi ikiwa mnasema yeye ni mmoja wa mizimu , je hko israel si kulikuwa na mizimu mingine. Kwa miaka 2000 kwa nini azungumzwe yeye tu.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kweli kwa Muafrika ni tambiko

    Dunia imeshapita hiyo stage ya matambiko sasa hivi ukiumwa mwenyewe unajisogeza kwenye vifaa vya kisasa Hosp. Its the world of science and tech in supervision of Almighty God.
Back
Top Bottom