Recent content by jobz

  1. J

    JamiiForums Tanzania Walimu wa sekondary tunamitihani

    Nin kifanyike kunusuru hili janga la elim?tusaidiane jaman mana tunaoumia ni walim wa sec.wakuu wao wanakula bata.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli castle lite inapunguza hamu ya 'sex'?

    Acha kutumia kwanza wakati unatafuta jibu kutoka kwa wataalam(hicho sio chakula)ukiacha kwa mda si viabaya.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    Hii ndo elimu ya kibongo,jaman siasa hadi kwenye elimu,serikali imekosa msimamo katika sekta ya elimu. take care.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    matokeo yakiwa mabaya zaid,serikali ya(kibongo) tz kwa kukosa msimamo kama kawaida najua itatoa tena msamaha.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    Kuhusu matokeo ya fom II Walimu wasilaumiwe,wala wanafunzi hawajafeli serikali ndo imefeli.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    Hii ndo elimu ya kibongo,jaman siasa hadi kwenye elimu,serikali imekosa msimamo katika sekta ya elimu. take care.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    Serikali imefeli kuhamishia sekondar wahitimu wote wa darasa la 7,bila kuzingatia vigezo hakuna sababu kukariri fomu II.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    Kama hali ndo hii tusubirie matokeo ya darasa la 7 hapo ndo itakuwa kichekesho,walimu wa sekondari jiandae kupokea mzigo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    Mgomo si chanzo,tatizo ni msingi wa elimu,kama mwanafunzi wa sekondar hajui kusoma na kuandika amefauluje darasa la saba
  10. J

    JamiiForums Tanzania Sijui kama siku hizi zipo hizi

    Nimeheka mbona neno la kinyaturu,na we nimnyatu?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sijui kama siku hizi zipo hizi

    Na hii ya kulala na nguo mpya au viatu vipya mnaikumbuka wanajamii?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Sijui kama siku hizi zipo hizi

    Kunyolewa nywele na kiwembe butu.
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faceboo ya kibongo

    Facebook ni mtandao wa kihuni,najilaum kwanin nilijiunga.binafsisiipendi
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Old is Gold: Good music never dies

    kila cku nyimbo za zaman zinazid kupata umaaruf,bongoflavor zinautam wa bigij
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni jina la huu wimbo

    Huu wimbo cjausoma
Back
Top Bottom