VeronicaAmadu, asante sana kwa maelezo yako. Sielewi kwa nini watu waone ajabu kwa Usain Bolt kutamba ktk mchezo wa riadha!
Kwa hiyo ina maana hakuna vipaji duniani, mbona marehemu Muhammad Ali alitamba ktk masumbwi kwa miaka mingi tu? Ina maana na yeye alikuwa anatumia madawa ya kumuongezea...
Neemababy, kwanza nikupongeze kwa ujasiri wako wa kuyaanika mambo yako uloyafanya gizani. Mbele za Mungu hakuna lisilowezekana na tena Mungu anawatafuta wale wenye dhambi kama mimi na wewe na wengineo, ili watubu na kuuacha uovu na kumrudia yeye Mungu aliyetuumba sote.
Mrudie Mungu wako naye...
Ndugu yangu Elli, kwa sasa kwa kweli taifa halina watunzi mahiri wa riwaya. Ni kweli kabisa kama alivyosema hapo juu, ukianza kusoma kitabu hicho, hutakiweka chini hadi umalize kukisoma! Kezilahabi hakika ni moja kati ya watunzi mahiri sana kuwahi kutokea Tanzania.
Mkuu Chief-Mkwawa, naomba ufafanue hapo uliposhauri kwamba " ukibadiri rom unaweza kuirudisha ".
Nina tatizo sawa la mkuu G spanner kwangu ni ktk simu ya nokia X2 haina hiyo feature ya ku restart.
Please saidia hapo.
Mkuu my name is my name, mkuu lup ameuliza afahamishwe kwa sababu hajui. Na kutokujua kitu si jambo la ajabu.
Ungemjibu tu bila ya kumuita "mshamba" nafikiri ingependeza.
JF ni sehemu ya kubadirishana mawazo na pia kupeana maarifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.