Recent content by Joband

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

    nadya bwana ...eti where are my glasses
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa miaka yangu 6 tu kwenye ajira

    Naked truth..
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rambirambi za waliokufa wa shule ya Lucky Vincent, Arusha zadaiwa kuchezewa rafu

    Speechless..hii nchi ina mambo ya ajabu mno
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! The Man of the People love triangle!

    Waiting...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu tatizo la maumivu ya magoti (Osteoarthritis)

    Pendelea kunywa supu ya makongoro na mchemsho wa bamia tupu inasaidia sana.
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

    Pole zimfikie huyo dada..ila suala la pressure ya kuolewa kwa wadada ni tatizo kubwa nimegundua sio hapa kwetu tu mpaka nchi za wenzetu..mi ni mpenzi wa movie za kikorea na ukiangalia movie zao nyingi mwanamke asiye olewa au aliyeachwa anadharaulika sana, siku hii mindset ya heshima ya mwanamke...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Shamba linapatikana Visiga, KIbaha - Pwani

    Habarini wakuu, Shamba lenye ukubwa wa ekari kumi (10) linapatikana Visiga kati wilaya ya Kibaha mkoani Pwani. Lina miti ya aina mbalimbali kama vile mikorosho, minazi na miembe. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na hizi namba; 0713 009 695 au 0765 365 326. Asanteni.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Ngoja nikajiandikishe maana uchaguzi wa mwaka huu unavutia kwelikweli
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu

    Aiseee sijawahi kutoa comment huku ila Leo inanibidi kwanza nikuulize swali unampenda mkeo au huyo mzazi mwenzio?Hapo cha muhimu kaa chini uongee na mkeo umwambie kila kitu,yeye ndo ataamua nini cha kufanya ni bora umwambie mapema kuliko aje kusikia kwa mtu mwingine
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Something To Laugh About- May the best laugh win

    achana na mahaba utakuwa tayari kwa lolote hahahaha
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Something To Laugh About- May the best laugh win

    atakupenda aliyekupiga mtama hahaha hayo ndo mahaba ya kweli
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Something To Laugh About- May the best laugh win

    mahaba Nipige mtama ning'oke meno ya mbele
  13. J

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    nilitumiwa SMS whatapp kwamba majani ya mpapai yanasaidia kuponya huu ugonjwa, ni unachukua majani unayatwanga hivyohivyo halafu ule mchuzi wake ndo unakunywa vijiko viwili kwa siku
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anapenda nimchezee muziki kabla ya kungonoka

    MABWAKU mbna
  15. J

    JamiiForums Tanzania Halima kimwana na Diamond..

    wenyewe wanajiita friends with benefit
Back
Top Bottom