Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

The Birthday Party!

Jamani tusemage ukweli Vivi anatuendeshaaa, tenaaa sio katukalia kichwani katugeuza godorooo kabisa tena godoro dodoma. What is this? I am mazafaking Dr and PHD holder nakujaje kwenye birthday kwa mfanooo? Waziri wa afya anajua Dr. Stella ni nani? This is bull shit kabisaaa. Stella alitema povuu la kihengaaa.

Sasa Da Stella wewe ulalamike, wakati wanao wana ji enjoy, mimi nisie na mtoto nisemajeee? Imagine sina mtoto na mahudhutio ni lazimaaa. Nisije ninuniweee mwaka mzimaaa. Hahahaaa! On the bright side its good to see all of you at once, najua vita vya tatu vya dunia hapa havitakosaaa hapaaa. Tujunguanee hapa kila mtu atoke na double stress. Naanza na wewe muhenga dada kubwa Stella, Dr. Stella! Hivi kweli shoga angu, dada angu kipenzi unafuga kuku? Hahhaaaaaa nicheke kingereza mie, Ha! Ha! Ha!

Sasa wewe Nadya kinachokichekesha mimi kufuga kuku nini? Napata kipato halaliii, na sio kwamba nimelazimika, noooo. I have a man who is providing nafanya extraaa tu. Its kind of a new hobby! Umati ukagunaaa kimyaaa kwamba namba anayotupigia bado haipatikani kabisaaa. Akapanic. Sasa hamtaki kama bwana ananitunza na kunihudumiaaa, mtajibebaaaa. Mnalooo hilo.

Mwaija akamdaka juu juu Dr. Stella mbona wanasema Dr. Richard hana mradi wowote kitambooo, anafanya kwenye mradi wako. Hahahaaaa! Kidogo Stella apasukeeee. Sasa wewe nani uijue miradi yake yote, mie mkewe ndo nasema ana mradi wa Malaria, NIMRI. Kwanza mda wa kuwaza miradi ya Rich waza kwamba mumeo mshika chakiiii shule za sekondari huko, kwako hamna aliefikaa na the only reason uko hapa ni sababu Vivi ni cousin wako. So hizi level wewe bado sanaa usibonyezeee. Mshahara wangu na hao kuku wanao kuwasheni nakulisha wewe na mumeo na ukoo wake miaka 7 tena nawalisha Serena....

Gift akaingilia Stella pleaseeeee! Tusifike huko. Haya Rich ana kazi ana mradi anafanya na USAID and he is providing. Can we switch topics. Sikutaka kukubali simply Stella ni mpinzani wangu wa jadi, nikaingilia. Stella acha uongo Rich hana mradi wowote tangu enzi za vita za kageraa. Kila siku anashinda nyumbani , Jully we jirani yao na huendi kazini bishaaa? Jully akasema mi simooo nisije kuambiwa mume wangu mpaka rangi buree sio architecture, count me out.

Nikasema stella wewe dada etu, tunakupenda, tunakuamini, sasa unavokua muongo muongo haipendezi dada yangu. We look up to you sasa usitupeleke chaka. Its okay wewe kufuga kuku, its okay Rich kuwa hana mradi kwa sasa. Just be real with us cause we know and you know we know. Akajizoa zoa mtu mzima kweli Rich hana kazi, and we need money, i am struggling. Mwaija i am sorry.

Vivi alikuja akakuta Stella anakubali maji ya shingooo, asingekuwa kaanza asingemaliziaaa. Ha ha ha nicheke kingereza. Vivi akanidaka mimi Nadya harusi lini? Moyo ukafanya paaaahhh! Nikajibu bado bado kidogo. Vivi akanikazia bado mpaka lini? Maana hili kundi ni la wifes and mothers and you are non if those, seriously in the near future itabidi tujadili hatima yako kwenye hii jamiii. Sio kwa ubaya ila we cant have our daughters growing up looking up to you kwa maisha unayoishi hapana we have to take a stand.

Niliumia rohooooo, niliumia rohooo. Nikachukua pochi langu na kutaka kuondoka moyoni nasema nawa block hawa mbwa wooote. Chozi linanilengaaa. Stella akadaka pochi yangu. Nikafuraa Stella nipe pochi yangu kabla sijaanzisha tifuuuu hapa. Sawa mi naondoka and i pray your daughters dont grow up as phonny as you, remember i know you all, each and everyone. Singoji kufukuzwa naondoka mwenyewe. Stella kama alikuwa anafanya merry christmass moyoni.

Hapana Nadya hakuna kuondokaaa. We want to help you out, kama ulivonisahihisha kuhusu kuwa in denial kuhusu Rich, na wewe hivo unavoenda sivooo. Friends tell you the truth. Utaishi hivo mpaka lini shoga angu? We want the best for you. Nini tatizo, usikute tunakuhukumu bila kujua tatizo liko wapi. Kwanini unaishi kipeke yako kama mwanga bwanaaa.

Nikadakia mbona Gift haambiwi nae si hajaolewa? Nikatulizwaa Gift ana kesi yake tofautiii na yako kabisaa, mda wake wa kupandishwa kizimbani utafika sasa hivi. Jibu mashtaka yako. Najiwazia gift mwana sheria yule hawata muwezaa atawapanga na kuwapangua wima wima watafurahi. Kesi yangu kutenganishwa na yake ikaniacha uchiii kabisaaa. Nikawa sina la kusemaa nangaa tu sharubu.

Wakanidaka bado unalala na yule mume wa mtu? Nikasema hapanaa kabisaaa! Hawakuniamini moyoni nasema mbona mnamshauri Gift alale na yule waziri si mume wa mtu pia? Shubhamiit mna double standards. Wakanikomalia tatizo nini? Nikasema sijuiiii, nimelogwa labda. Basi Stella kujita psychologist mbwa yuleee. Inatokea ukiumizwaa sanaa. Niakse,a sijasemaa nimeumizwa nimesema nimelogwaa usinilishe maneno. Vivi akanidaka juu kwanini unahisi umelogwa? Sikujibu, sasa kwanini nisi hisi kulogwa?

Vivi kujitia mjua kila kitu, akasema kuna mwanaume jimekutafutiaaa! Wote tunashtukaaaa na kugunaaa. Tobaaaaaaa! Nikamuwahiii mapemaa kabisaaa, maana it was too much. Jamani i am not that pathetic i can gind my own men, thank you so much. Akapanic mnaonaaaaa! Huyu hataki mwanaume huyuuu, anapenda hivo hivo kuishi kama muhuniiii mi nawaambiaaa. Angekuwa seriouly mtu mwenye uhitaji angekuwa vivi thank you, who is the guy, ila yeye hata hajamjua mwanaume nani ashakataa, sasa kuna mtu kweli hapooo? Hapo hamnaaa mtu.

Gift akamwambia huyu tunammudu, endelea huyo mwanaume nani kwanza baadae tutapiga veto kama ikibidi kumuuza kama yusufu tunamuuza tu. Tunaenda kumshika miguu kitandani, asitutanieee. Huyu tuna mmuduuu vizuriii kabisaaa. Nadya kaa kimya, Vivi mwaga seraaa.

Basi kujifanya mtaalamu wa wanaumeee sasa, mi nalitizamaaa tu. Huyu kaka rafiki yake Hubby, nikadakia kama katoka nje simtakiiii! Vivi akadakia Gift si ulimwambia akae kimya mbona ananiinhilia, na hatoki nje wa hapa hapa sema kingine, Gift akanikata jicho oleeee wakooo useme nenooo mbwehaaa wewe, nikakaa kimya. Vivi akaendelea na mnada wa mabwana.

Yupoo, na anamjuaaa, maana aliniambia anatafuta mke, nikambana unataka mke au mwanamke wa kuchezeaa. Akasema mke niko serious. Nikawaalika shoga angu pale na yeye dinner hapa kwangu ili amthaminisheee bibie kama atamuelewa yaani kampendaaa ni hatariiii kadataaa. Alivosema hivo nikamjua huyo bwanaaa. Niaksema Vivi yule boyaa sintakiiii, utanisamehee kwa kweli sio type zangu kabisaa.

Stella akadakia type zako si ma play boy ndo maana unazeeka mwenyewe mdogo wangu. Vivi endeleaaa. Sasa mimi namjua Nadya akili yake sio nzuri ange mblast kaka wa watu, angefanya visaa na kujitoa ufahamu isingeenda kokote. Ndo maana hili shauri nimelileta kamati kuu. Wajumbe mpige vetoo. Na akikataa mimi binafsi sina uamuzi zaidi ya atoke tu kwenye hili kundi. The group has outgrown her life style. Sasa anatembea na mume wa mtu tuta sapoti cause hatumjui huyo mwanamke in the long run atakuja kutembea na mume wa mmoja wetu afu mimi kamam Vivi haitonishangaa. Muwindaji akikosa nyama porini anawinda bandani.

Hahahaaaaa! Nilijikuta nacheka kwa dharauuu tu, na kisema jamani akugukazaye hakwambii toka. After so many years of being your friend naona tamati imefika, stella nipe pochi hilo niende. Stelaa ananijibu mwenye wakati mnamsema Rich kidogo niondoke kwa mwendo wa Race Huseein Bolt hanikamati. Mume anaumaaa, hata kama huna hio topic tu inaumaaa. Tulia hapo dose ikuingieee. Hapa hutokii kama una hasira sanaa acha gari tembea kwa miguuu.

Mwaija akadakia labda kalogwa kweliii. We mume unapewa kwa pasi ya kisigino bado humtakii, tena vivi navomjua atakuwa mtu na pesa zake. Pengine mzuri sijamwona bado hana kasoro yoyote labda kalogwaa. Nikamwambia wewe mke wa mshika chaki kaa kimya, kutaka ndo sanaa unazeeka hujaishiii, huna mbele huna nyuma keleleee. Gift akaingilia tenaaaa Nadyaaaa! Maneno hayo aseme Stella Vivi walau wamekuwa pazuri wewe shoga angu kutukana ulipotoka? Nikasema si mniache tu niondokeee. Sasa mkiendelea kunibganganiza kukaa ndo nitajiapiza kutembea na waume zenu wooteee kwa hivi mnavonivua nguo na kunitanua mashavu hadharani. Stella akasema tembea nae na hivi hana kazi sahivi hahaaaaa atakupaka janaba tupu mbolea kule ya kufagia nyingi tusaidiane.

Nikawa nimefikwa na maji ya shingooo, ikabidi tu nikubali yaisheee. Nikajishusha tu, ndugu zangu nimekubaliii, na kuonesha nabadilika ill go to the date na huyo kaka. And i will give him a chance. Basi wakaanza kujifanya wema tena. Wakaanza kumkaanga Gift, Gift mzitooo lawyer yule wakimpindisha huku anachomokea huku. Mpaka mwisho bila bila kwa gift.

Kiukweli ndugu msomaji huyo mwanaume mnegemuona hata nyie mngeniunga mkonooo. Vivi anaongea vile mumewe mtu wa gym, mtu wa kupendeza huyo bwana anae nisakizia sio bwana sio lolote, balaaa tupuuuu. Kwa macho tu anaonekana kufanyana hajuiiiiii. Yupo yupo tu, lazy slag flaniii. Mwembamba wa wastani, ana kitambi cha wastanii, mzembe mzembe tu, na miwani yakeee sijui kipofuuu yule, dakika 10 nyingi where are my glasses. Mmmmh! No way no day sikutaka kujisumbuaaa.

Tumeondoka pale namuuliza Gift shoga angu ukanichuuza hata wewe? Gift hana mbavuuuu. Ananiuliza kwani yupoje yupojeee? Namsimulia hana mbavuuuu. Ananiambia kazi unayooo. Wale zao huwa chubwiiii, chubwiiii, chubwiiii. Hahahaaaaa! Umepatikana. Nikamwambia siendi wala nini kwani atanifanya nini huyo Vivi? Aaaaah mammbo gani kama shule kupangiana.

Wiki nzima Vivi akipiga sipokei, sipendagi ujingaaa. Akaacha kupigaaa. Gift akaja kunipa ubuyu shoga umetengwaaa, umezidi jeuriii. We kumchuuza mwenzio kamwambia kaka wa watu umekubali simu humpokelei ndo nini. Nikasema bwana watajijuaaa. Ananipa list ya matukio ya wiki nzima sijaalikwa, wanawake wabaya waleee ndo wameona waniue kwa upweke. Nika divide and rule namfata mmoja mmoja kujitetea. Kila mtu hatakiii, anasema hujaonewa sema wewe ndo unaleta mambo ya kihuniii. Vivi anakupenda kweli ana kujali sababu umejifanya nunda kaa nje kwanza ujitafakariii. Roho ilitaka kunichomokaaa.

Nikajikaza kama mweziii hivi, mambo yanazidi kwenda mrama. Nikampigia Vivi hapokei. Nikapiga wiki nzima hapokei. Nikaenda kwake mlinzi akasema hayupo wakati gari naionaaa imepakia. Nikamwambia Gift nimenyooka ongea na vivi nirudiii. Gift akasema wewe kurudi pale inabidi uwe tu yule bwana, na wewe si una pretend mbele ya vivi you make effort low key you curve the hell out of him akaombe poo kwa Vivi mwenyewe. Hapa ukitaka Vivi akukubalie kurudi sema nimekubali. Nikamwambia poa mwambie niko tayari.

Vivi kesho akanipigia simu, ooh nilipoteza simu sijui nini, ila Leo Leonard anakuja dinner i am expecting na wewe wajaaa! Nikajitetea i may have not have time, akajibu make that time, simu akaikata. Mmmmmhhh! Nikatoka hovyo hovyo mwendo wa jeans na tshirt tu kwenda hio dinner. Watafurahi wao sasa. Si wananiletea ubabe, Leo atawapa salamu zangu.

Low key najipa moyo labda nilimuangalia vibaya mie sivo navomuwazaa. Kumuona tu, niliangalia vibaya kweli the situation was much much worse.

ITAENDELEA
 
Dr. Richard.

I was at a point in my life i was concidering suicide as an option. Every single day nikiamka i have to debade when and how to execute it. Unlike my wife i wasnt a medical Dr. Just PHD in statistics. I have been sucidal in different stages of my life.

I was sucidal when i was young and i met the girl of my dreams and was not suicidal anymore. The marriage was short lived mostly compiled of mis understandings. Never was i physical with her at any point but we fough a lot and fought about everything.

Then i became suicidal again, and my wife was pregnant so i was so happy and decided to live a little longer to see the baby. And oooh he was such a good boy. As if he coudl see right through my soul. Unluckly the marriage didnt survive for much longer. When my boy was 3 we officialy divorced on different ground.

Then she re married and i lost custody of my boy, they took him to Sweeden, i was more sucidal than ever. I question every reason if my existance. If i cant be with my boy, i cant be there for my boy then who am i here for. I felt useless and defeated.

I had even decided how i was going to go, bought every item needed, and set a specific date i was going to end my life. Nikaandika na mirathi yangu kabisaa kumuweka mwanangu kama mrithi halali wa mali chache nilizo nazo. I spent most of my time thinking how i was gonna end my life so sikuona umuhimu wa kuwa na mali nyingiii. Za kazi gani?

Nikiwa ofisini nawaza this is my last day akaja binti mzuriiii mnooo chotara. Akanisabahi na kuniambia amekuja hapo kureport. Nikasikitika sitoviona vingi. Ikatokea tu akaniuliza kama nina dinner plans, ofcourse i had death plans nikasema tu sina.

My oooh my, tukaanza kudate and she will forever be the love of my life. She was different sassy, out going. Like me kaishi sanaa nje. I decided to stay a little longer kuona itavoishia. Sasa bada ya mke kuondoka mama yangu mzazi akawa katawala sanaa nyumba. Kajaza wadogo zangu, it was chaos. Na yule bibi mambo ya extended family hayaweziii. Mama akaanza kunijaza kumpiga vita nikajaaa.

Nikiwa nimejaa katika semina semina nikakutana na Stella single mom. Kiukweli ilikuwa kazi ya nje tu. Akawa mkarimuuu sanaa na nini inshort lubaaaa. Mtu nimepiga one night stand tu kanitambulisha kwa mwanae baba sijui nini. Before i know it mama kashamjua anamfanyia siasa. Before i know it ana mimba yangu.

Kuishi na Stella ni rahisi sanaa, sababu anajua thamani ya mwanaume, na anajua kumpanga kila mtu nafasi yake, mpaka mama kampanga, wadogo zangu kawapanga na bibi kapangwa. Tatizo sikumpendaaa. Niko design najipeleka peleka tu. Before i know it ana mimba ingine tena.

Kati kati hapo nilifanya some risk taking nikaacha kazi yangu na kutaka kuwa mjasiria mali. Nikachukua pension zangu, nikafungua chuo na miradi mingi mingi tu ambayo yooote ilifeli. And i am on my late 40s. It was a bad move and worse in history.

Baada ya hapo nafugwa tu na Stella. Namuona anvofujikaaa. Sawa sikumpenda nilimchukua kwenye status flani ila no anafagia mbolea, anafuga kuku, sio maisha yake kabisaaa. Every time navomiona ana suffocate kuendesha familia it reminds me of how useless i can be.

Na yule half cast hajaolewa tenaa mpaka kesho kutwa. Anasema kama sikumuoa mimi basiii. Nalo linaniumaa mama toto la ukweliii afu ndo kutojielewa kwangu kumeharibu maisha yake. And Stella can be a beach. Real beachy. And as usual i am defenceless kufanya lolote.

Stella mpamambani kajenga ghorofa najiachia tu humuu kama uchebe, i wish nifanye kitu kumsaidia ila ndo jivo the useless 40yrs old me. Recently nimefanya analysis kwamba stella will be so much better off without me, maybe she may find true love at last.

Mwanangu wa sweeden nae nasikia haelewekiii kabisaaa. Yaani kaharibikiwa huko. Kawa muhuniii tu wa mjini. And this time sitaniii, naaka nikajipumzishee jumla.

ITAENDELEA
 
Mmmh @lara1 nimekugawa kwakweli..! Maana sio kwa kuukonga moyo wangu namna hii! Kwamba jamaa anaugumu kama papii kocha..!
 
Back
Top Bottom