Recent content by Joan Joel333

  1. J

    Walimu Wanaokwenda Kusoma Bila Ruhusa Ajira Mashakani

    babo hana hooja ya msingi mwalim kama ameshamaliza mda wake aruhusiwe kwenda kusoma kwani hawa DEO na wakurugenzi wana usumbufu sana, mfano kuna mwalimu moshi rural ambaye alishwekwa kwenye orodha ya watakoruhusiwa kwenda kusoma mwaka huu lakin alipokwenda kuomba release letter alikataliwa kwa...
  2. J

    Mkono asalimu amri baada ya kukatwa wazazi CCM

    walewale tu . mtu mzima hatishiwi nyau
  3. J

    JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

    Hizo zilikuwa ni kelele za mfa maji ambaye haachi kutapatapa. Lakini ngoja tumshubir atamchimba nani au aatakuja na mpya zipi?
  4. J

    Oil chafu kwa matumizi ya vyama vya siasa yatayarishwa

    Filikunjombe njooo haraka san tunakuhitaji hata hivyo wewew ulikua wetu kimoyomoyo
  5. J

    Hivi Lema alihutubia tarehe 25/09/2012

    ni swali ambalo najiuliza kila saa nakosa jibu kwani nisingekuwa member wa jf nisingejua kwamba lema alihutubia jana.kina chonishangaza ni kwamba cjackia taaarifa yoyote kwenya tv huhusus hilo hiv ndio waandishi hawakuona pointi yoyote kwa lema au ndio kusema walihongwa wasripot chochote...
  6. J

    CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

    hana maaaana gamba mkubwa wewe malaya ni ssm
  7. J

    CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

    hawana mana kwani cku cii nyingi tbc1 watakuwa wapinzani cdm tv itakua iking'ara ikulu :shut-mouth:
  8. J

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    KAMA UNAMALIZA MWAKAN NADHANI UTAANZA NA HELA NZURI KIDOGO KWANI WANAOANZA MWAKA HUU MSHAHARA WAO NI 532000/ BILA MAKATO YOTOTE NAYASEMA HAYA KWANI NIMESOMA WARAKA MPYA WA SERIKALI BAADA YA NYONGEZA YA MWEZI WA SAB MWAKA HUU HIVYO BASI UTAPETA, KWENYE UALIM HAMNA KUBANWA KAMA ILIVYO JESHI CKU...
  9. J

    JK atabiria wapinzani kushika dola!

    :flypig:wanajua kutiboa ni vigum mpaka pinda kazomewa c mchezo wana siasa za uchwara ndio maana mama yangu hawatoboi happo 2015 kwani kura zetu lazima tuzilinde ipasavyo kila idara na chopa :flypig:ndio zinaingia zicindikize kura na kuzilinda :flypig:
  10. J

    Hoja 18 kesi ya lema tutegemee nini??

    hawatoboi hapo labda watumie tu ubabe kwani kimogoro yuko viziri sana ni hoja za msingi .huyo jaji ni voda fasta nini?
  11. J

    Shule hii ichunguzwe( leonidas gama) rc klm

    Hii shule ipo moshi maeneo ya soko laa mbuyuni na mkuu wa shule hii anaonekana ni tapel fulan ambaye anaajiri waalimu bila mkataba wowote na cku yoyote akiamua anafukuza na hadi sasa kuna waaalim ambao amewafukuza kazi bila kuwalipa madai yao na anawapiga lkalenda kila kukicha. Yaaani hana hata...
  12. J

    Taarifa ya Mhe.Joseph Selasini, Aanzisha M4C leo huko Rombo

    umenikumbusah mengi safi sana najua selasin yuko tayari kuthubutu kuyasemea haya na kuyatafutia ufumbuzi.pi akuna shule moja pale tarakea inaitwa mbomai,kuna mwalimu mmoja ana mcimamo mkali dhidi ya ubadhiifu wa fedha za umma unaofanywa na mkuu wa shule marandu.kesi nyingi ziltengenezwa hapo na...
  13. J

    Taarifa ya Mhe.Joseph Selasini, Aanzisha M4C leo huko Rombo

    asnte sana pia m4c ucisahau manda chini ( eneo la kufanyia mkutano uwanja wa shule kimwingeni primary) unafaaa kwa shughuli hiyo sana na maeneo hayo hamna office yotote ya cdm. ni ccm 2. ngurumisha hapo sana hao mafisadi wa hapo wenyevit wa kijiji afisa mtengaji na diwani ni ccm.
  14. J

    Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam

    eee bwana hawa majamaaa wana agenda ya siri wanayotaka kumfanyizia jembe letu lema na wanaogopa kifanyia arusha kwani itakula kwao hawa wana apolo wana hasira ile mbaya na magamba.
Back
Top Bottom