Shule hii ichunguzwe( leonidas gama) rc klm

Joan Joel333

Member
Sep 13, 2012
22
1
Hii shule ipo moshi maeneo ya soko laa mbuyuni na mkuu wa shule hii anaonekana ni tapel fulan ambaye anaajiri waalimu bila mkataba wowote na cku yoyote akiamua anafukuza na hadi sasa kuna waaalim ambao amewafukuza kazi bila kuwalipa madai yao na anawapiga lkalenda kila kukicha. Yaaani hana hata ela ya kuwalipa waalim wake na hivyoa wanafunzi huwa kwa mwaka mmoja wanafundishwa na waalimu tofautitofaut zaid ya kumi jamani hii ni sawa ebu jaribu cku moja ufanye tu ziara ya kushtukiza hapoa shuleni utajua mengi afisa elim anafkiri anajua hilia kwani ........... NA KWA KUWA SHULE HIII HAIPOA MBALI NA OFFICE YAKO NADHANI UNAWEZA AU UKATUMA WAJUMBE WAKOA KAMA NAO SIAO WACHAKACHULIWAJI.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom