Oil chafu kwa matumizi ya vyama vya siasa yatayarishwa

Status
Not open for further replies.
Hakika tumeona MASALIO YA VIJANA kule ndani ya CCM waliotokana na KOO ZA KI-UTWALA ndani ya chama hicho wakionyeshwa mlango nje.

Hawa ni pamoja na Deo Filinkujombe (kujitanabaisha kuwa ni kijana mwenye fikra huru asiyekubali kufungiwa ndani ya jela ya itikadi za ki-CCM), Hussein Bashe (shida ni kumpiga konzi la kisiasa mtoto wa mfalme kule Iringa) pamoja na Khamisi Kigwangalla (tatizo uhusiano na mgomo wa madaktari).

Ndani ya CCM ya hivi sasa vijana wasiotokana na koo za kiutawala ndani ya chama hicho kamwe hawana chao tena na tayari wamebambikiziwa nembo ya kudumu kama OIL CHAFU ambao umuhimu wao ni siku ya uchaguzi tu - kupiga kura na kuondoka zao.

Filikunjombe ni Oil chafu??!
 
Milango iko wazi na mwenyekiti wa chama tawala na dume ameisha toa ufunguo wafungue milango waondoke km nia yao ilikuwa ni kupata madaraka ya NEC. Shida iko wapi si aondoke ccm
 
Milango iko wazi na Mwenyekiti wa chama tawala na dume ameisha toa ufunguo wafungue milango waondoke km nia yao ilikuwa ni kupata madaraka ya NEC. Shida iko wapi si aondoke CCM.
 
Mchukueni haraka kabla hajapoa, nakumbuka Mpendazoe nae alijifanyaga mpiganaji akajitoa aka enda CDM sasa hatumsikii tena ameisha jimaliza kisiasa na cdm hawana matumizi nae tena.
 
Kauli ya kuwaita WAPIGANAJI ndani ya CCM kama OIL CHAFU na kwa upande mwingine lile rundo la wanandugu walioivamia NEC-CCM majuzi kwa mkupuo kujazana na kukirimiana vyeo lukuki wao kuonekna OIL SAFI bila shaka itakitafuna chama hiki si kifani.

Nilitegemea useme kwa ukubwa wa ccm na udogo wa cdm ni wakina nani wamejazana kwenye chama km ndugu? 70% ya viongozi wa cdm ni ndugu na wanatoka kaskazini, ili Hali ccm wao hawazidi hata 20% sasa hapo ni chama kipi cha kindugu?
 
Hivi uongozi ndani y CCM hii ya leo ni kwa kuzingatia mchango wa mtu katika chama pamoja na maadili yake simply ni undugu wa jirani kiasi gani alionayo mtu kwa zile KOO ZA KITAWALA NDANI YA CCM miaka nenda rudi???
 
kama vile slaa , mke mdogo, mke mkubwa na tundu lissu na sista wake wa kiti maalum.

nitoe mawazo yangu general sio kwa sababu naipenda cdm au kwa sababu siipendi ccm. Mwanzo wa kila jambo options zinakuwa chache mno-limited. Lakini kadri litakavyoendelea basi na wigo wa options hupanuka, watu wanaongezeka na fursa nyingi hujitokeza n.k
ukianzisha kampuni bila shaka viongozi wa mwanzo watakuwa wacheche sana, tena unaowafahamu kwa karibu. Baadae kadri biashara au kazi itakavyokuwa, basi na watu wanaongezeka na hapo hata kupima mwenye uwezo zaidi inakuwa rahisi kumpata na unaweza kubadili uongozi na nafasi kadri ya biashara yako, n.k.
Hata tanzania ilipopata uhuru, viongozi walioanza utaona ni wale waliokuwa karibu zaidi na mwalimu, wakiwepo ndugu na marafiki, baadae basi waliweza kuingia na kuongezeka wengine kutokana nafasi zilizojitokeza na kadri ya uwezo, elimu uchapaji kazi n.k.
Cdm wanaanza ukilinganisha na ccm, wakichagua viongozi lazima watakuwa ni wale waanzilishi wakiwepo ndugu, au marafiki ambao at least wanaonekana wanafaa! Baadae nao watapata watu wengi zaidi, wakiwepo wasomi wenye uwezo, wachapa kazi, but at mean time wanatumia resources walizonazo.
Sasa ccm, up to 50 yrs bado undugunization upo? Hampaswi kujilinganisha na vyama vingine come on. Mna watu wengi sana na wasomi, wafanya biashara, wapiganaji wenye uwezo na msijilinganishe na vyama vinavyopambana kutafuta wanachama bado. Mi sioni sababu ya nyie kujilinganisha, mfano udp wanaweza hata wakaongozwa na baba. Mama, mtoto n.k watamweka nani kwenye nafasi walizonazo? Wamwite ccm kumpa cheo? Lazima wawe ni wale wa karibu sana-friends or close relatives, baadae wakiongezeka nao watabadilika sura zitamix.
 
brainless_machine_poster-rbd1262e3df5f44fcb819d03210e7c312_wfb_400.jpg

:yo:You have made my day!
 
Kauli ya wenye FIKRA HURU NA WAPINGA UFISADI kupewa nembo OIL CHAFU hakika ni kiama kwa uhai zaidi wa CCM.
 
Kauli ya wenye FIKRA HURU NA WAPINGA UFISADI kupewa nembo OIL CHAFU hakika ni kiama kwa uhai zaidi wa CCM.

Ccm haifi utakufa ww , watoto, wajukuu, vitukuu, vikolombweza nk mtaicha ccm nadarakani, kiama hicho labda cha vyama pinzani
 
Kama kweli RAFIKI WA HAKI kwa maana ya Mwanasheria,

Je Kijana mwenzetu Ridhiwani Kikwete, pindi atakaposikia maneno kma haya ATAJISIKIJE MTANZANIA MWENZAKE TENA MAMA MJANE anapozulumiwa kilicho chake eti kwa jina la urafiki na nyumba ya utawala katika nchi yetu?????????????

Hili jambo lifuatiliwe zaidi ili kumfuta machozi mama huyu na watoto yatima aliyo na jukumu la kuwalea hapo nyumbani kwake.

Kuna mtu anajiita piga deel anatumia jina la Ridhiwani Kikwete kung'ang'ania nyumba ya Uchumi house nyumba ambayo ni ya mama mjane aliyeachiwa na mume wake.

Mama huyo amefanya kesi na Njake akamshinda mahakama kuu,baada ya rufaa mahakama ikaamuru mama apewe nyumba yake,lakini amejitokeza huyo piga deel ambaye alikuwa anatumiwa na Njake kukusanya kodi na kuzuia madalali mahakama kukabidhi nyumba hiyo kwa madai niya kwake huku akitamba hakuna mtu atakaye mueza kwakuwa yuko na Ridhiwani Kikwete.Kwa mimi binafsi naona anatumia tu jina la RZ1 kutishia.

Rz1 kama huyo mtu humfahamu jitokeze kukanusha na umchukulie hata sitahiki maana imekuwa kawaida kwa matapeli kutumia watoto wa viongozi kudhulumu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom