Taarifa ya Mhe.Joseph Selasini, Aanzisha M4C leo huko Rombo

wewe unaeweka misiba mbele kuliko mambo ya maendeleo unapaswa kuogopwa kama ukoma!m4c ni pamoja na kutambua fursa na vikwazo vinavyowakumba wananchi ili kuvifanyia kazi!unategemea kwny msiba wa babake kamanda Lisu chdm wote waende?PAMBAFU YAKO!haya mambo ya kukumbatia misiba ni vikwazo ktk maendeleo,ndo maana wawekezaji toka nje hawaajiri watz kwa sababy ya misiba icyoisha!

Sasa Mpumbavu ni nani anyeshikilia tamaduni za nje au yule anayefata tamaduni zake?
 
vipi kamanda utazungumzia swala kupokea posho ama lah! yaani sitting allowance..
 
HONGERA MBUNGE WA ROMBO KWA MAFANIKIO
Rombo ilisifika sana kwa utengenezaji wa vikombe na majagi ya maji kwa kutumia material yale yanaotengenezea kata za kunywea mbege
soko lake lilikuwa kubwa ndani na nje ya Kilimanjaro hata Kenya pia
kile kiwanda bado kipo au Mramba aliondoka nacho kwani yeye ndie mwanzilishi
 
asnte sana pia m4c ucisahau manda chini ( eneo la kufanyia mkutano uwanja wa shule kimwingeni primary) unafaaa kwa shughuli hiyo sana na maeneo hayo hamna office yotote ya cdm. ni ccm 2. ngurumisha hapo sana hao mafisadi wa hapo wenyevit wa kijiji afisa mtengaji na diwani ni ccm.
 
Hongera sana Mbunge Wangu, Kamanda Wetu.

Moja ya kazi kubwa zilipo mbele yako ni kupambana na watengenezaji na wanywaji wa gongo. Hicho ndicho kitu kinarudisha sana nyuma kasi ya maendeleo katika baadhi ya maeneo ya Rombo.

Tuna imani nawe. Tunakuombea vile vile ili Mungu akulinde dhidi ya viongozi wa CCM ambao siku hizi wamekuwa na kawaida ya kutumia Polisi kuuwa wananchi.
 
umenikumbusah mengi safi sana najua selasin yuko tayari kuthubutu kuyasemea haya na kuyatafutia ufumbuzi.pi akuna shule moja pale tarakea inaitwa mbomai,kuna mwalimu mmoja ana mcimamo mkali dhidi ya ubadhiifu wa fedha za umma unaofanywa na mkuu wa shule marandu.kesi nyingi ziltengenezwa hapo na mkuu wa shule dhidi ya huyo marandu na mizengwe hiyo maaafisa elimu na mkurugenzi nadhani wanajua kwani wamemwamisha jamm(mwakyembe)kuhusau hilo suala. ebu fuatilia hapoa mheshimiwa selasin utapata kujua mambo makubwa na makuu uciyoyajua



pai utakapofika manda chini kuna shule inaitwa mema sec huyo mkuu ni noma anakula kondooo wake kisenzi wankijiji wanamjua vizuri sana na shuleni hapo awaalim wake kawafanya maawara zake na kuiendesha shule kama shamba la bibi. idara ya ukaguzi ya serikali inakagua kila cku lakini cjuia inakagua nini. fanya mamabo hapo utapata wafuasi wa kutosha na kijiji kitageukia cdm na office utapata
 
sina wasiwasi na warombo katika kazi .Soon rombo itakuwa fahari ya kaskazini.
 
Back
Top Bottom