Faida wanayoipata makampuni makubwa ya mtandaoni Kama vile Facebook, Google, YouTube, Twitter, N.k. faida inatokana na matangazo(ads)yanayopatikana kwenye website husika mf. Unapoangalia video YouTube kunatangazo linatokea mwanzo, katikati, mwisho mwa video basi kilo tangazo ndio faida ya...