Jaribio hili halina zaidi ya miezi 9 Sijajua itakuwaje baadae ila vifaranga wamekua na wamefikia kutaga ninawatunza kienyeji yaani wanatembea tembea nje.
Habari wana Jamii Forum,
Naomba msaada kama kuna wanaojua au wenye uzoefu wa kutengeneza chakula cha kuku, anifundishe na kwa kuwasaidia wengine formula ya kutengeneza au kuchanganya chakula cha kuku aina ya Broiler Mash, Layers Mash, Broiler Starter/Chick Mash. Pia naomba ushauri wa wapi...
Mimi nilijaribu kuweka majogoo kama saba hivi kwenye banda lenye majike sabini wa mayai nilipoyaweka hayo mayai yalikuwa yanaangua tu. Ila kama unafanya hivyo jitahidi kuwapa majani kwa wingi na virutubisho vingine ambavyo kuku wanaotembea nje huwa wanavipata kama wadudu na madini kama chokaa...
Mmmh! mtu asikudanganye natural wana raha ya kipekee. mimi kwa upande wangu napenda sana na naenjoy vibaya ninapokuwa na mwanamke ambaye yuko natural alafu msafi huwa safari inakuwa ndefu sana na ya raha zaidi.
Kwa experience yangu, kuku wote wana uwezo wa kutaga mayai hata bila jogoo wakila chakula chochote kiwe cha asilia au cha kiwandani ila tofauti ni katika mayai yatakayotagwa. Wenye jogoo yatakuwa na kiini kilichorutubishwa na mbegu ya jogoo (fertilization) ambayo yanakuwa na uwezo wa kuanguliwa...
Nilikuwa nasafiri kutoka Msata - Pwani kuja Dar, Tulipofika Kongowe, alipanda jamaa mmoja akiwa ameongozana na mwanamke mmoja mrefu kiasi na unene kiasi. Walipokaa kwenye siti wakawa wanaendelea na stori zao na kuonyeshana mapenzi na kutufanya wengine tuvutiwe na kuanza kugeuza shingo zetu huku...
Jamani kwa mtindo huu hawezi kusaidika, vigongo vimezidi hata hapumui anapewa kigongo kingine dah! sio uungwana WanaJF. kwanza si mnaona umri wake na isitoshe anaonekana anahitaji ushauri wa kitaalam la sivyo ukimwi utammaliza.
Sasa kama bado upo mimi nakushauri jitahidi kuhudhuria ibada...
Mimi nilifuatilia mpaka wizara ya kilimo walinisaidia. Hebu jaribu kuwasiliana na ofisi za kilimo za wilaya sijajua uko wilAYA gani. Ulizia miradi ya DADIPS watakupa details za drip irrigation. Ila vitendea kazi na utaalam wanatoa hao Balton Ltd wako arusha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.