Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Joack, Jul 12, 2012.

 1. J

  Joack Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji gari ya kufanyia kazi inayobeba abiria kuanzia 7 na kuendelea preferrable Noah, Gaia, Ipsum, au yoyote yenye uwezo huo. Nitampa hesabu ya siku 20,000/= mpaka 25,000/= kwa siku kulingana na makubaliano. Mimi nipo Dar Es Salaam. Gari itafanya kazi maeneo yenye barabara ya rami (sio roughroad) Gari itaendeshwa kwa uangalifu na matunzo ya kutosha. Aliye tayari tuwasiliane nitatoa namba za mawasiliano kwa maelewano na mapatano zaidi. Email yangu jsleym@gmail.com
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hizo namba za mawasiliano utazitoa lini, Juzi?! au Jana?!
   
 3. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 376
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  weka namba tufanye biashara kaka,
   
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  fanya 50k nikupe gari
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  7 seater kwa 20 to 25K per day? Mabigi!
   
 6. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  hesabu ya kupeleka kwa mwenye gari kwa siku kwa wenye magari hayo ni 40,000/= hapa mjini!ila sikukatishi tamaa,labda utapata
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Si kasema kuanzia saa saba? yawezekana ni saa saba za usiku mpaka saa moja alfajiri.... STUKA!!
   
 8. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu sidhan kama uko serious, sipendi kukukatisha tamaa ila kwa gari kama hizo bk 20 kwa siku ni matusi. Labda upate gari iliyochoka kbs
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hajasema kuanzia saa 7, anataka gar ya kubeba watu 7+. Sasa Kama Noah, ama cruiser yenye vita nyuma vya kitalii italipiwa 25,000 kwa siku, starlet si atataka atoe buku tatu?:eek2:
  Ngastuka, machale kun'ndesa!
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Starlet nitakupa buku jero.....
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Kiru kiru!! Ote mae!!
   
 12. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mie nina super custom 8 seater iko makini sana full AC lkn kwa ofa hiyo buku 20 kwa siku mhhh,,maana hiyo ni hesabu ya tax
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ila isiwe gesti bubu tu
   
 14. J

  Joack Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaweka namba za simu kwa sababu za watu wenye akili na uelewa tofauti kama unavyoona walivyotoa comment hapo juu. Sisi binadamu tuna uelewa tofauti. Naomba aliye tayari na serious anitumie private message kwa: Joack ili nitoe nammba za simu.
   
 15. J

  Joack Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kassim, Kwani ofa yako ya mwisho ni ngapi nitumie kwenye private message username: Joack
   
 16. J

  Joack Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siwezi kuweka namba zangu za simu hapa kuepuka usumbufu kutokana na watu kuwa na akili tofauti. Naomba ndugu kama uko serious naomba unitumie private message kwa username ya Joack. Nitakutumia namba ya simu kwa mapatano zaidi. Au tumia email ya jsleym@gmail.com
   
 17. J

  Joack Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Brine, Siwezi kuweka namba zangu za simu hapa kuepuka usumbufu kutokana na watu kuwa na akili tofauti. Naomba ndugu kama uko serious naomba unitumie private message kwa username ya Joack. Nitakutumia namba ya simu kwa mapatano zaidi. Au tumia email ya jsleym@gmail.com
   
 18. J

  Joack Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siwezi kuweka namba zangu za simu hapa kuepuka usumbufu kutokana na watu kuwa na ak ili tofauti. Naomba ndugu kama uko serious naomba unitumie private message kwa username ya Joack.
  Nimekutumia namba za simu kwenye private message yako angalia kwenye Inbox utazikuta kwa mapatano zaidi. Au tumia email ya jsleym@gmail.com
   
 19. J

  Joack Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana umedandia tu mada huelewi hata kinachoendelea wala kinachoongelewa ndugu.
   
 20. J

  Joack Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kassim, Kwani ofa yako ya mwisho ni ngapi nitumie kwenye private message username: Joack au email: jsleym@gmail.com
   
Loading...