Recent content by Jmo

  1. J

    JINSI YA KUFUNGA AZAM DISH/HOW TO INSTALL AZAM DISH

    Habari zenu wana sayansi na teknolojia? Nimefuatilia mwanzo mwisho threads nyingi humu zinazohusu FTA channels na visimbusi vya azam, DStv, zuku n.k Lakini sijapata elimu ya mwanzo mwisho, hatua kwa hatua namna ya kufunga dishi la Azam mpaka ufikie kupata channels. Endapo kuna wenye uelewa huu...
  2. J

    Kirusi kinaficha mafaili na kuacha shortcut yenye extension(.Ink)

    etkahigwa ahsante. Kwa kuwa niko mbali nitaifanya then takupa feedback.
  3. J

    TAARAB ALBUM MOJA YA ZAMANI

    Naomba msaada mtu anitumie nyimbo au album nzima ya taarab moja ya zamani (Majina ya nyimbo, album na muimbaji Simjui). Baadhi ya nyimbo kwa ufupi zilikuwa zinaimba hv: 1. Bado nakuona ndama, nakuona hayawanii! 2. Nakula nao na wabaya ni haohao ooh Nacheza nao, na wabaya ni haohao oohX2
  4. J

    Kirusi kinaficha mafaili na kuacha shortcut yenye extension(.Ink)

    Hi wataalam! Nasumbuliwa na tatizo moja la PCs kufanya shortcuts hasa kwenye External Mass Storage km Pen Drive(Flash Disk) na Memory Card na External HDD. Shortcut hzo hufanya extension ya .Ink na haiwezi kufunguka au ikifunguka inakuwa imeficha mafaili na mafolda baadhi au yote. Najua command...
  5. J

    Top 10 ya wagombea ubunge wa CCM wenye nafasi kubwa ya kushinda

    Lameck Airo Rorya Sospeter Muhongo Musoma vijijini Nimrod Mkono Butiama
  6. J

    Diwani earnings

    Nawaelewa Okw na Mabulangati so mnataka kunambia km ni kugombea upitie CCM na siyo CDM!
  7. J

    Diwani earnings

    Waheshimiwa habari zenu? Kuna mabishano hapa naomba mnisaidie kwamba kati ya diwani na mtumishi mwingine wa serikali kama mwl, afisa kilimo, mhasibu nk(desk officers) nani ana earning nzuri chukulia miaka 5 au 10 ya udiwani na huyu mfanyakazi mpaka kustaafu!
  8. J

    Kenyan ku-band channels

    Ahsante bwana Tusichoke, kwa hiyo Mpeg 2 ndo kusema kwa heri!
  9. J

    Kenyan ku-band channels

    Jamani habari zenu? Wakubwa wenye maujanja ya satellite dishes, nawaomba mnielimishe: 1) Kuhusu frequencies na symbol rate za Citizen tv ya Kenya, na namna ya kuifunga pale kwenye dish la futi 6. 2) Nauliza kama KBC, K24 bado wapo hewani kwenye freq 11026 v symbol rate 9693 Ku-band? Nawasilisha.
  10. J

    Signal za STAR TV..

    TBC labda Tiddo arudi! La sivyo Mmh!
  11. J

    Star tv satellite

    Kwa wakazi wa kanda ya ziwa na watumiaji wa satelite dishes, nawajulisha Star tv wamerudi hewani ghafla kuanzia leo jioni. Frequency ni zilezile 3886 V symbol rate 4900 muendelee kuchungulia!
  12. J

    Maswali ya written utumishi??

    Huu mtandao umeshaingiliwa na majangili na division zero za Mulugo! Hata ukiuliza kitu kizuri majangili ya meno ya tembo yanavamia na kuchangia upuuzi tu! Kama kitu hakikuhusu au hukijui kwa nini udakie! Watanzania sisi tuna shida za kujua angalau na sisi tupate maisha watu wanatia viherehere...
  13. J

    Msaada nafasi ya kazi kashwasa

    Jamani hawa jamaa Mamlaka ya maji safi na maji taka Kahama na Shinyanga(KASHWASA) walitangaza nafasi ya kazi ya computer system analyst II, Lakini wako kimya sana! JAMANI MWENYE UPDATE NAO ATUSAIDIE TULIOOMBA?
  14. J

    Psrs interview

    Habari zenu wana jf! Naomba kusaidiwa hints za interview za hawa jamaa wa PSRS ni mambo gani hasa wanahoji sana hasa kitaaluma.? Je, wanapiga slides za chuo zile in deep au ni general knowledge tu! Tusaidiane tu kwa faida ya wengi tuloitwa huko na ni mara ya kwanza hasa upande wa mifumo ya...
  15. J

    GPA zetu bongo kweli ni kizungumkuti

    Bwana Menison hizo GPA waachie wanaobaki chuo kufundisha! Wewe tafuta kazi utapata hata GPA ya 2.0 utapata tuna mifano mizuri, ukifuatilia utajua kuwa wengi wa wenye GPA kubwa si wapetaji wazuri wa kazi zinazolipa! Wanapata tu tutorials, ulecturer! TRA wameweka hizi kupunguza competition!
Back
Top Bottom