Naomba msaada mtu anitumie nyimbo au album nzima ya taarab moja ya zamani (Majina ya nyimbo, album na muimbaji Simjui).
Baadhi ya nyimbo kwa ufupi zilikuwa zinaimba hv:
1. Bado nakuona ndama, nakuona hayawanii!
2. Nakula nao na wabaya ni haohao ooh
Nacheza nao, na wabaya ni haohao oohX2
Baadhi ya nyimbo kwa ufupi zilikuwa zinaimba hv:
1. Bado nakuona ndama, nakuona hayawanii!
2. Nakula nao na wabaya ni haohao ooh
Nacheza nao, na wabaya ni haohao oohX2