Recent content by JMipicha

  1. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Pole mzee kwa mtihani saiv kaa utulize kichwa kwanza then utapata majibu sahihi
  2. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

    Pole mzee kila mwanaume kapita uko cha msingi anza kwa kupunguza na kujitahdi kuacha kuangalia porno graphy
  3. JMipicha

    JamiiForums Tanzania Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Hamia yutubu mzee leta kwa njia ya video wabongo kusoma wazito
  4. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anavyojua kutongoza

    Shule kwani zimefungwa[emoji19][emoji19][emoji19]
  5. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Kisa kitamu sana malizia mkuu
  6. JMipicha

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laini ya TTCL haisomi data

    Me laini lao limexingua nawapigia wananipanga nimelitupilia mbali
  7. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utauponza kijana, narudia utauponza!

    Mkeo mkanye acha kuja kulia lia hpa
  8. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

    Utapigwa na jiwe we hapo tembeza bakora mpka wakome alafu ghafla jifanye umeachishwa kazi watakaobakia ndio chagua wa kuoa
  9. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

    Mondi sound "ukieleta kwa wahuni tunaila na hatutoi suni kwa utamu gn ...[emoji1787]
  10. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemblock baada ya kuona vitu havieleweki kutoka kwake

    Safi kijan grow up
  11. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti anachekesha sana. Atanikumbuka

    Utoto raha
  12. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

    Hiki kizazi kimefungwa kujua ukwel nyeto ni hatari sana kuliko sigara[emoji51]
  13. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

    Nyeto ni kuangamiza nafsi yako mwenyew wabongo wanakaza fuvu hawawezi elewa me ni miongoni mwa wahanga ila namshukuru mungu nmeacha[emoji120]
  14. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepiga punyeto kwa muda wa miaka 17 na nimeshindwa kuiacha kabisa

    Mkuu kazaaa unajiua bila kujua
  15. JMipicha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi kinakufanya kurudiana na mtu uliyemuacha kwa kuamini kuwa sio mwenza sahihi?

    Unaeza ukaonekana mkubwa lakin kumbe ndani mdogo
Back
Top Bottom