Recent content by jmi

  1. jmi

    Julias Mtatiro: CCM inashinda chaguzi kwa kutumia mifumo ilele; rushwa, mabavu, hila, wawakilishi

    Huyu Mtatiro atakuwa ni mkurya kweli au ni jina tu!! Wakurya ninaowafahamu mimi ni wasema ukweli sasa huyu wa visingizio vingi mimi sidhani kama ana asili halisi ya kabila la wakurya. 1. Kubali kwamba vurugu mliyonayo ndani ya cuf ni sababu ya kushindwa ktk uchaguzi 2. Kubali kwamba Lowasa ni...
  2. jmi

    Salamu hizi kutoka CCM ni ishara mbaya sana kwa siasa za upinzani Tanzania

    Na hii dhana yenu ya kwamba kijana ni lazima awe mpinzani ni dhana mfu. Na mmekuwa mkiitumia hiyo dhana kama sera. Hii inawapoteza sana. Lakini pia inatakiwa vyama vya upinzani mji- reform hasa kuhusu swala zima la fujo. Kwani mmekuwa ni watu wa fujo na kauli chafu. Kwa watz hatujazoea desturi...
  3. jmi

    Acheni chaguzi ndogo zije ili waone kama sera ya kutumbua majipu inalipa

    Wakigundua sifa ya mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na usalama cheo ambacho amekuwa nacho mr Lowasa hadi anaacha ubunge wataelewa kuwa mr Lowasa is an asset or Liability
  4. jmi

    Acheni chaguzi ndogo zije ili waone kama sera ya kutumbua majipu inalipa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vipi mkuu matokeo yametoka umeyasikia?
  5. jmi

    Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

    Kwa hiyo mbowe hatakiwi kulipa kodi! Wafichue wana ccm wasiyolipa kodi awamu hii ni ya tofauti sana watashughulikiwa kama anavyoshughulikiwa mbowe
  6. jmi

    Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

    Taja na wengine wasiyolipa mkuu bila kujali itikadi zao. Lakini pia kuwa mzarendo wa nchi yako kwa kusema kuwa kiongozi inatakiwa awe ni mfano wa kuigwa. Kiongozi Kama halipi kodi je atakusanya kodi??
  7. jmi

    Maajabu ya mwanaume niliyenae

    Sure bloo Ukimkipiga front tu kwa ustaarabu bado atalalamika kwamba unakula upande m1 wa samaki
  8. jmi

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    Ugome!!! Harafu ule nini
  9. jmi

    Hapana, VodaCom wamefanya makosa na yatawagharimu kibiashara. Mfanyakazi wao ana maslahi nje!

    Kwani ndiyo mara ya kwanza kusikia mitandao ya cm wakitoa ushahidi mahakamani? Au kwa sbb kesi inamhusu mrs Lema hawatakiwi kutoa ushahidi?
  10. jmi

    Natafuta mke mwenye vigezo hivi

    Kwani unafanya kazi YANAPA mkuu!! Nina maana unaishi porini huna majirani wanaokuzunguka ili uchague m1 anaekufaa tena kwa uchunguzi wa tabia yake kupitia majirani wema?
  11. jmi

    Lowassa na wabunge wa kanda ya ziwa wafunika Kahama

    Ndani ya sanduki la kura inakuwa kinyume
  12. jmi

    RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

    Kwa hiyo watumiaji qa Vodacom wapo Arusha tu?
  13. jmi

    Jaji Mutungi: Namtambua Profesa Lipumba

    Sema wewe uko na maalim seif siyo utujumlishe wote
  14. jmi

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Na mimi kwetu masurura
Back
Top Bottom