Jaji Mutungi: Namtambua Profesa Lipumba

Jaji Mutungi: Namtambua Profesa Lipumba

Jaji Mtungi usifanye watanzania wote mazuzu, na hiyo dhambi unayo ifanya itatafuna mpaka kizazi chako.
Bila kuweka maneno mengi, Jaji amekosea sana.Nae hana aibu kama Prof. Lipumba. Kwa mtindo aliondoka( Prof. Lipumba) nao CUF, asingerundi katika mtindo anaotaka kurudi nao.
 
Kujadili mambo ya mutungi na lipumba ni kama kupoteza muda wote wezi wamegawana pesa zinakaribia kuisha wanakuja na hadithi mpya...Mutungi anajua fika CAG akienda kukagua zile mil 369 kule CUF hana wa kumuuliza kwasababu pesa hazijafika chini ya accounting officer..kuwa na baba aina mutungi ni aibu hata mbele jamii muda wote anaendekeza njaa na kujipendekeza.
 
Hawa ndiyo majaji utumishi wao umetukuka, hatari sana.
Anaringia kwasababu maelekezo yanato juu. Hatakama wakumpeleka mahakamani,hukumu itatolewa kwa maelekezo kutoka juu.Hapa dawa ni wapinzani kuungana kiuimara zaidi ili waanzishe maandamano hadi kieleweke. Kama kutuuwa watuuwe.lakini hawazi kutumaliza.Bila kufanya hivyo haki hatuwezi kioata milele.
 
Akili yangu haitakaa ielewe hili swala. Rais anatangaza vita, Mkuu wa majeshi anajiuzuru na kuelekea nchi jirani, baada ya vita kuisha ambayo mmpegwa vibaya, mkuu wa majeshi anarudi na kuutangazia umma kuwa yeye amerudi kwenye cheo chake na ni jenerali halali. Halafu wanajitokeza watu ambao dunia imekuwa ikiamini ni waelewa na watetea haki wanasema kweli huyu ni jenerali halali na kuwalazimisha maafisa wa jeshi na wapiganaji wamheshimu.
ONLY IN BONGO.
 
Jaji akili yake kama vii,, kweli ukifika bei lazima ujitoe ufahamu.
 
Anaringia kwasababu maelekezo yanato juu. Hatakama wakumpeleka mahakamani,hukumu itatolewa kwa maelekezo kutoka juu.Hapa dawa ni wapinzani kuungana kiuimara zaidi ili waanzishe maandamano hadi kieleweke. Kama kutuuwa watuuwe.lakini hawazi kutumaliza.Bila kufanya hivyo haki hatuwezi kioata milele.

Mkuu siungi mkono kwa hilo, nafikiri viongozi wa dini ni nafasi yao kuingilia kati.
 
Huu ni mpango mchafu dhidi ya upinzani , Jaji Mtungi unayemtumikia ana ukomo Mwogopeni Mungu enyi binadamu , Leo hii mnakandamiza haki hapa duniani mnajiona ninyi ndio wamiliki wa hii nchi , Siku zaja ambapo mtashindwa hata kutoka ktk nyumba zenu.
 
Bila kumumunya maneno mkono wa fisiem na 'siri-kali' upo na huyu propesa wa bgrn malapa lengo likiwa ni kuua Cuf na hatimae UKAWA ili ushindi kama ule wa 2015 usiwepo! Mungu yupo upande wa wenye haki siku zote.
 
Hii inaonekana ni dili hapo bwana msajili kalamba kidogo kwenye hizo million kadhaa ukizingatia anavyomtetea huyo bwana inatia mashaka huenda kajiandalia kimfereji katakakokuwa kanamnufaisha kupitia bwana yule
 
Mkuu siungi mkono kwa hilo, nafikiri viongozi wa dini ni nafasi yao kuingilia kati.
Miaka nenda rudi tunaburuzwa. Hao viongozi wadini wamekaa kimya, wengi wao wabinafsi hao viongozi wadini, wanashiba hela zetu za sadaka njaa hawaijui.Wengine ndo kwanza wanasema njaa hakuna huku wananchi sehemu zingine wakishindia maembe. Viongozi wadini hawana umoja.wengine wanajipendekeza kwa sizonje .
 
Mkuu sisi tutapita lakini Tanzania haitapita, tumuombe Mungu wetu.
 
Back
Top Bottom