Recent content by jm group

  1. J

    Ngozi ya punda ina thamani kubwa China

    Nimefurahi nimesikia Tanzania tumejiunga na mataifa mengine kusimamisha usafirishaji wa ngozi ya punda lakini kenya bado wameruhusu kusafirisha ndiyo maana wanaibiana punda na wanakuja mpaka kwetu kuiba punda
  2. J

    Ngozi ya punda ina thamani kubwa China

    Tena wamebaki wachache duniani
  3. J

    Ngozi ya punda ina thamani kubwa China

    Nimeanglia documentary kwenye channel ya france 24 punde kumbe nyuma ya pazia wachina kufanya biashara ya nyama ya punda africa ni ngozi ya punda yenye thamani kubwa na inatengeneza dawa iitwayo Ejiao china inayosaidia mzunguko wa damu,kinga dhidi ya cancer na nguvu za kiume!
  4. J

    Logistic manager anahitajika

    Habari wadau nina kampuni ndogo ya kama malori 10 hivi nahitaji mtu wa kuanza nae na kukuwa nae kwenye kampuni yangu mwenye ujuzi wa logistic,accounts record na mawasiliano mazuri ya lugha ya kiingereza na kutumia computer ahsante Mohamed lardhi 0652222222 0773222222
  5. J

    Arsenal vs Man city itaonyeshwa na channel gani?

    Azam tv kupitia channel ya mtv india inaonyesha
  6. J

    Maono: Mahojiano ya Azam TV na Tundu Lissu

    Na kama lissu anaombewa na watanzania wengi apone haraka arudi kwenye majukumu yake je atarudi tanzania na ulinzi kutoka kenya ?maana ni zaidi ya ufala kutotoa ushirikiano kwa jeshi la ulinzi wa nchi yako tanzania!
  7. J

    iPhone zote zipo. Niagize nikuletee ulipo kwa Dar na mkoani nikutumie

    Mimi nauza tablet ya tab2 samsung 10.1inch
  8. J

    INAUZWA Nauza Kifaa cha kutrack tatizo la kiufundi katika gari

    Ina diagnos gari zipi? Na vp malori inaweza ?
  9. J

    Flat tv (starx)

    Unatakiwa tuweke kila size na bei tukuungishe biashara lakini hujiongezi alafu utasema umerogwa!
  10. J

    INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

    Nahitaji size 245/40/R20 tyre 2
  11. J

    Namna ya kudhibiti Nguruwe Pori kwa uharibifu shamba la Mihogo

    Wadau, Kama mada husika hapo nina shamba kubwa la mihogo changamoto kubwa niliyonayo ni nguruwe usiku wanafanya uharibufu. Naomba mawazo na maarifa ya kuwadhibiti Ahsanteni
  12. J

    Mwijage: Nashindwa kukaa na familia yangu nikitafuta wawekezaji

    Kaka Tanzania yetu nchi ya ajabu hata mwana siasa akiamua ana kwamisha tu uwekezaji mifano mingi tu ipo
  13. J

    Chapati kwa kiingereza inaitwaje?

    Piechart Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Tena tajiri na maskini wote tunazikwa utaratibu mmoja na sanda ya buku final kokote tutakuswalia na yeyote atakuzika muhimu ajue utaratibu so simple Sent using Jamii Forums mobile app
  15. J

    Karanga za Diamond zimesababisha umasikini kwa 30%

    Karanga za diamond kiafya si nzuri zina calories 300 wakati mbichi zinafaida protein Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom