Sio Kila neno Lina tafsiri kwa lugha ni zao la utamaduni wa jamii. Kama Jamii haitumii kitu Fulani haiwezi kuwa neno au jina la hicho kitu. Waingereza hawana ugali ila uji mzito na hawana chapati kwa asili. Wanaweza kutumia neno asili ya lilikotoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.