Nimeanglia documentary kwenye channel ya france 24 punde kumbe nyuma ya pazia wachina kufanya biashara ya nyama ya punda africa ni ngozi ya punda yenye thamani kubwa na inatengeneza dawa iitwayo
Ejiao china inayosaidia mzunguko wa damu,kinga dhidi ya cancer na nguvu za kiume!
Ejiao china inayosaidia mzunguko wa damu,kinga dhidi ya cancer na nguvu za kiume!