Yeah! Hilo ni tatizo kubwa...
Lakini, still bado wapo wachache ambao wapo "UNIQUE", na wenye material "original"...
Mfano mzuri ni blog moja ya Sayansi, Inayoitwa: TUONGEE SCIENCE
Na nyingine kadhaa pia...
Thank you for that man! Appreciate that...
Hata mimi baada ya kuzunguka sana; I came to that conclusion... nilitaka tu niulize na hapa... before I decide to even buy it online or otherwise.
Zipo za aina nyingi from different manufactures; that's why I was general ili mwenye nayo anambie anayo ya aina gani?
kuhusu kuitumia wapi: It's my own simple project...
For a brief clarification:
Cable modems provide high-speed Internet access over cable TV networks (which rely primarily on...
Habari yenu wadau!
Natafuta kifaa kinaitwa "CABLE MODEM"... Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kwa hapa Dar; but nobody has it or even seem to know it... Nimeweka picha ya hiyo device hapo chini...
Kama kuna mtu anafahamu zinapouzwa or any way to help; please PM me... Asanteni Sana!
I don't mind being in the "first class" because, then; my position is guaranteed...
But with other classes; it's a probability...
E.g: Not all who enter politics succeed, and not all "failures" have successful businesses...
Sikatai kwamba: What you are saying might be true... In fact; all of it might be true.
Lakini tujiulize pia: Pamoja na hayo yote, kwanini kumekuwa na "protests" kubwa kiasi kile...
On my opinion, nafikiri: pamoja na huduma zote hizo, it still wasn't enough compared to their national income. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.