Blogs zimekuwa kero Tanzania

Blogs zimekuwa kero Tanzania

Kwa kweli blog ni.nyingi mpaka kero.an ishu ya copy paste imenea unaweza tembelea blog mpaka.sita zina habari.na picha ile.ile moja nani.za watu.tofauti.sasa sijui ni fashion kuwa na blog au ni ili kutupa updates
 
True Mkuuu! nakumbuka Kipind tunaanza kuzjua email kuna watu walikua na ulimbuken wakufungua nying... Walipokua waelewa wakapunguza.. Na kwenye facebook ikawa hvyo hvyo! Kuna kipindi watakuja pevuka... Na kinacho Washinda Wengi ni Ubunifu.... Na hli ndo tatzo ., tatzo sio kuwa nyingi...., kuna baadhi ya watu blog zao zna ubunifu wa Hali ya juuu (Siwataj coz hawajanilipa..... No free promo

Nitaje tu alafu tukutane PM uniambie bei ya PROMO
 
nataka nione mwisho wa hizi blogs ni nn? kwanza zinaandika upuuzi in most case japo habar zingine ni muhimu na nzuri. habar ni hizohizo blogs zoteee.. mwonekano sio mzuri... kuna blog moja maarufu kabla hujafikia habari unakutana na matangazo mengi mithili ya gazeti la daily news. badilikeni kama hamna vitu vya kufanya kilimo kwanza kinawahusu kwa jembe la mkono
 
Hii style ya kila mtu anafungua BLOG MPYA kila siku alafu anaweka content za ku-copy na ku-paste kutoka site nyingine ni common sana, Hakuna idea mpya au akili imeishia hapo? Come up with something new basi hata kama ni blog ya free watu wafurahie sio kila mtu ana blog za habari na entertainment tu, na kibaya kila mmoja ana copy kwa mwenzake, same content katika blog 100. Watu wakiona hili wanabaki wanasema hii nchi hata raia walioko hawafikirii, mtu kama huyo utamlaumu kweli au anaongea ukweli?? Mi naona anasema ukweli, Usifungue blog kama unajua huna exclusive content au basi angalau idea mpya ambayo sitoipata kwenye blogs nyingine za bongo

Mkuu safi sana mi mwenyewe nimeliona aisee,,blogs nyingi kama mtu anavyofungua Acc Twitter au FaceBook na itafikia kila mtu hakuna wa kumpa habari mwenzake.
 
Yeah! Hilo ni tatizo kubwa...
Lakini, still bado wapo wachache ambao wapo "UNIQUE", na wenye material "original"...

Mfano mzuri ni blog moja ya Sayansi, Inayoitwa: TUONGEE SCIENCE
Na nyingine kadhaa pia...
 
Hahaha, hii nilikuwa sijaiona bado hii ya TUONGEE SCIENCE, nimeipenda sana
Naomba kaamua kuwatafsiria kabisa ili watanzania waelewe kinachoendelea
 
Hii style ya kila mtu anafungua BLOG MPYA kila siku alafu anaweka content za ku-copy na ku-paste kutoka site nyingine ni common sana, Hakuna idea mpya au akili imeishia hapo? Come up with something new basi hata kama ni blog ya free watu wafurahie sio kila mtu ana blog za habari na entertainment tu, na kibaya kila mmoja ana copy kwa mwenzake, same content katika blog 100. Watu wakiona hili wanabaki wanasema hii nchi hata raia walioko hawafikirii, mtu kama huyo utamlaumu kweli au anaongea ukweli?? Mi naona anasema ukweli, Usifungue blog kama unajua huna exclusive content au basi angalau idea mpya ambayo sitoipata kwenye blogs nyingine za bongo

Watanzania sijui ni lini tutaondokana na hii mitizamo ya kijamaa na kizamani. It's a free world the weak and substandards will fall by themselves huhitaji serikali wala wewe. Unless utuambie hao wenye blogs wanavunja sheria zipi?

If they are all wrong bring urs on the table.
 
Ina content nzuri isipokuwa mwenye blog ameshndwa kutumia Advanced Diploma yake ya Software Engineering kujitengenezea blog yake mwenyewe!.

Yeah! Hilo ni tatizo kubwa...
Lakini, still bado wapo wachache ambao wapo "UNIQUE", na wenye material "original"...

Mfano mzuri ni blog moja ya Sayansi, Inayoitwa: TUONGEE SCIENCE
Na nyingine kadhaa pia...
 
Watanzania sijui ni lini tutaondokana na hii mitizamo ya kijamaa na kizamani. It's a free world the weak and substandards will fall by themselves huhitaji serikali wala wewe. Unless utuambie hao wenye blogs wanavunja sheria zipi?

If they are all wrong bring urs on the table.

Naona siasa zinakuchanganya mkuu, Nani kaongelea uvunjaji wa sheria? Na ujamaa na mtazamo wa kizamani we umeuona? Mbona wako umekaa kijamaa na kizamani zaidi, prove to me kua you have heard something like this enzi zako hizo za kizamani, au we ni moja wa bloggers ambao blogs hazina jina kabisa, Bila critics hatusongi ndugu yangu, we unaona kama its right ila ni sababu hizi hizi Tanzania inapata ratings za ajabu, watu kama wewe ambao mnaenda na ile kauli "ili mradi lisonge, si hamna sheria iliyovunjwa" ndio mnaorudisha mambo nyuma, mtu anafanya kitu katika standard ya chini unasema "acha liende kwni si hajavunja sheria" usipo mcriticize mtu kama huyu lini atajua anakosea au kafanya katika kiwango cha ovyo? Bloggers wengii wanakosea na bado hamna wa kuwa-criticize ndio maana wengi wanazidi kuja kila siku wakidhani wako right wanaiga ya mwingine bila kujua kua naye yuko wrong sababu watu kama nyie mko kimya, huoni kama wakijua wako wrong ndio watarekebisha? Hata kama bloggers wangekua milioni bongo sio shida kama kila mtu angekuja na exclusive content na vitu mbalimbali watu wakafurahia, kila mtu akija na story moja uzuri uko wapi hapo? Na nasema NDIO WANAVUNJA SHERIA we unadhani kucopy content ya mwenzako ni sawa? Sio uvunjaji wa sheria huo?. Kama unajua anything about how the internet works naomba unicriticize ila kama hujui basi ni bora uache maana hujui ulifanylo.. na usiniambie nitoe yangu sio kila mtu anataka kua blogger, kama unahitaji niku-introduce kwa apps nilizoshiriki kutengeneza Apple au Android store ukae kimya.. We aren't competing here, we are just trying to build a better Tanzania itakayoonekana ina watu wanafikiri na sio copy cats, unajua Tanzania nje ilivyo na jina baya? au hujatoka nje? hata Kilimanjaro nchi za nje ya Africa wanajua upo Kenya na sio Tz, unadhani ni kwa nini? Usiseme "whats wrong with watanzania wengine" kwanza jiulize Whats wrong with you? Ill prove to you this statement
 
Ina content nzuri isipokuwa mwenye blog ameshndwa kutumia Advanced Diploma yake ya Software Engineering kujitengenezea blog yake mwenyewe!.
Obviously huezi jua, kwa kua ni Tanzania kwanza ni risky maana hiyo content ya Kiswahili ni Watanzania wangapi watakitolea ku-visit na kutazama kila siku? So ni risky kama atachukua host atengeneze site alafu airushe hewani coz atahitaji kulipia kila mwaka, na atapataje hela kama hana users wakutosha? Bongo wengi wapendao science in deep hufatilia content za kingereza na si za kiswahili, na hao hu-research sehemu nyingine kabisa kama Wikipedia na university sourcea, kwa hiyo ukija na yote hayo its worth it ikiwa bure than ya kulipia afu usipate views wala adverts za kuifanya iwe hewani. hakuna apendaye hasara.. Tanzania is one heck of a place kwa online business kwa kweli, unless una content za kijinga na za fujo, kupata watu ni ngumu sana, hata JF peke yake ambapo ni Great thinkers angalia uniambie wengi wako wapi kama sio kwenye kubishana siasa kupeana ya waziwazi au kuna forum inayozidi ya Mahusiano na Mapenzi, angalia views nyingi ziko wapi utagundua akili ya watanzania wengi imekaa wapi
 
watu wanamake hela kupitia yale matangazo kutoka googl ads,chitika,adhtz nk nyie kalien kujadil watu kwa kucopy...among ov d
 
Back
Top Bottom