Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Unakuta mtu (mwanamume) na mke wake ni waumini wazuri tu wa dini tuzifaamuzo zilizopo hapa kwetu TZ. Mke anafanya kazi na mume vivyo hivyo ni mfanyakzi (waajiriwa). Unatoka kazini (mume) na kawaida yako hukutana na marafiki na kubadilishana mawazo na kupumzika kwa kupata kasoda na kisha kurejea nyumbani na kukaa na familia yako! Ghafla Mtumishi (Kiongozi wa dini) anakupigia simu anahitaji kuonana na wewe (mume) na pia yupo tayari nyumbani kwako na anakuambia nataka kukuona kukusalimu tu na fika anajua unatoka kazini na hakukupigia mapema kwamba muonane........ hii mimi kwangu naiona haiko sahihi maana kwanza hukutoa taarifa mapema, pili umeshafika na upo nyumbani kwa muumini ndipo unapiga simu..., mie naona kuna walakini hapa au Wandugu Mwaonaje hii??????
:crazy::crazy::noidea::noidea::noidea::noidea:
:crazy::crazy::noidea::noidea::noidea::noidea: