Recent content by jk kisiwa

  1. jk kisiwa

    Kwa muziki huu wa msanii huyu chipukizi Diamond na Ally kiba wajipange

    Nimeusikiliza vocal ,instrument ,melody imetulia msanii huyu anaonekana bado ni mchanga ila namtabiria makubwa mbele ya safari
  2. jk kisiwa

    Hivi kwa tukio hili ni nani ana Elimu na nani hakupashwa hata kupata Elimu?

    Kwenda kwa mganga haitoi jibu ya kiwango cha usomi wako ila ni kwa kiwango gani umesimama kwa imani ipi kama unaamini zaidi kimagharibi basi utaukosoa usomi wake ila ukiamini kama walivyo amini babu zetu basi msomi huyo atakuwa sawa ni sawa na ww kwenda hospital kutibiwa kwanini uende hospital...
  3. jk kisiwa

    Unajua wanaobeba madawa tumboni wanaingiziwa kinyume na maumbile?

    Na inafikia vp mtu kayameza lakini anakamatwa uwanja wa ndege au sehemu nyingine
  4. jk kisiwa

    Je, wajua kwamba unaweza kuwa unafuatiliwa kupewa ajira ya huduma ya siri ya serikali bila kujua?(Shushushu)

    Ungemsikiliza Dr slaa juzi akihojiwa clouds labda ungeelewa kidogo kitu gani kinakwamisha
  5. jk kisiwa

    Nauza sabuni za kigoma

    Mods iyo picha ya awali itolewe iwekwe hii
  6. jk kisiwa

    Nauza sabuni za kigoma

    Kama kichwa hapo juu kinavyo eleza nafuta wateja wa jumla nitakao kuwa nawauzia sabuni kutoka kigoma kwa bei ya jumla kwa bei poa. Sabuni hizi hutengenezwa kigoma ni nzuri kwa kuogea huondoa chunusi mabaka pia hulainisha ngozi kwa kufulia pia ni bora kwani hutoa povu jingi kwa sehemu...
  7. jk kisiwa

    Alichokifanya Kenyatta ni Akili, Hekima na Busara sio Nguvu

    Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
  8. jk kisiwa

    GEITA: Amuua mke wake kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali kisha kumnyonga mtoto wake

    Mkuu kwanini unasema ivyo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
  9. jk kisiwa

    Kuna watu tuliumbwa kupishana na gari la mapenzi

    Tupia sifa hizo za mwanaume unayemkubali labda ninazo tukayamalizia maisha yaliyobaki
  10. jk kisiwa

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    tuanajifunza kwa vitendo
  11. jk kisiwa

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Nimeichukua tayar iyo app unaitumiaje maana sioni chochote
  12. jk kisiwa

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Unamaanisha nini apa kiongozi
  13. jk kisiwa

    Kuhusu kitabu kilicho vunja record kwa muda mfupi "Fire and Fury, Inside The Trump White House"

    Hao warekani waliosoma ndo maana hawakumpigia kura trump
  14. jk kisiwa

    BAKWATA ilishawekwa mfukoni, usitegemee itakemea mabaya ya Serikali

    Daaaaa ila dharau zote hizi zinasababishwa na viongozi wetu#Zuber
Back
Top Bottom