Alichokifanya Kenyatta ni Akili, Hekima na Busara sio Nguvu

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Ndiyo maana ya Kiongozi wa Nchi, wale sio adui ni raia wake pia, Na ndiyo maana nzima ya democracy, ameheshimu mawazo na ametegua mtego wa machafuko yaliyokuwa yanaenda kuinyemelea Kenya..

Wanavyopendaga sifa hapa? Siku ambayo Odinga ametangaza tarehe ya kujiapisha, yangefanyika mazoezi vitisho, mikwara mingi mingi.,, kama ile ya UKUTA tu ilikuwa mbwembwe nyingi,..

Kuna kitu Wakenya na Rais wao wametuzidi sio mbaya tukijifunza!? Odinga ameridhika na wafuasi wake wameridhika ameenda zake kwenye Ikulu yake nyumbani kwake, hana jeshi, hana baraza la mawaziri, wala hana chochote cha kufanya kuwa Rais mwenye mamlaka na Kenya, wamempuuzia na ameridhika, ni Rais wa watu ndicho kiapo chake kilivyofanyika..

Unadhani Kenyatta bila kutegua fumbo hilo kwa sasa Kenya ingekuaje? Kenyatta hausiani kabisa na ile kauli ya Trumph, 'shithole'
FB_IMG_1517395317454.jpg
 
View attachment 688074
Ni raisi mwadilifu Sana, sio Siri
God bless you Kenyatta
 
Kenyatta ame act smart sana,kwa kitendo alichokifanya Odinga ni uhaini ambao umeelezwa kwenye katiba yao kuwa adhabu yake ni kifo so Kenyatta akiamua kuretaliate maana yake Odinga na wenzake hukumu yao ni kifo.Angeweza kutumia jeshi na maafa yakawa makubwa zaid na akajiharibia Image yake kimataifa na hata hicho kitendo kisingefanyika na yeye angeingia lawamani.
Sasa ndio tunaweza kujua rangi ya Kenyatta kama atakomalia sheria ichukue mkondo wake au ataenda extramile wakae mezani na Odinga wayamalize.Suala hili ni gumu sana linaweza kusababisha nchi isitawalike kwani ukabila unaingia moja kwa moja ni busara tu inahitajika ,tusubirituone!
 
Je alichokifanya kenyata siyo kuvunja katiba ya kenya maana kama katiba inazungumza kujiapisha ni kinyume na katiba na kenyata ameapa kuilinda katiba iyo je kushindwa kuilinda katiba si inatosha kumuondoa madarakani
 
Yuko smart na ana akili kubwa sana marais wengi waige kutoka kwake
Kweli ana busara sana. Aekuwa tumeruhusu Raila kuapishwa/kujiapisha japo hakutaka jambo hilo lifanyike. Fikiria kama angesema kwmba "yeye hajaribiwi" na wakati huo huo Raila akakomaa na mipango yake. Hivi sasa hali ya kisiasa ingekekuwa imechafuka ile mbaya. Siku zote busara hulipa, lakini kutumia mabavu hakulipi. Viva Uhuru!
 
Tanzania bado na siasa zetu za ki longi; kwetu upinzani ni uadui ni vita.
!
 
Back
Top Bottom