Siku hizi binadamu walio umbwa na Mungu kwa mfano wake ndo hao hao wanaongeza madudu ktk biblia na ukiuliza imeandikwa wapi hutapata majibu zaidi tu utaambulia matusi na kejeli za kijinga ila tukumbuke Mungu wetu habadiliki wala si kigeugeu alichoamuru na kutuagiza sisi kufanya hakitabadilishwa...
Naomba mwenyekuthibitisha hili tupange namna ya kumsaidia hili ni tatizo kubwa sana hata sisi tuio nje ya Mwanza tunaweza kuchangia naomba Muongozo tafadhari
Hongera sana rafiki MUNGU azidi kubariki kazi ya mikono yako zidi kumtegemea MUNGU wetu ni mwaminifu atakufikisha mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu poleni kwa mihangaiko ya kila siku,
Natafuta mwalimu/taasisi mzuri ya kufundisha kiingereza cha kuongea huko mwanza kuna jamaa yangu anahitaji sana.
Ubarikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee uko juu nimesoma toka mwanzo nikawa natamani kuifahamu hiyo sayari sijaruka neno ili nisije nikairuka sayari bila kuisoma
Ubarikiwe kitumie hichi kipaji utafika mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.