Jifunze hapa: Namna nilivyoanza mpaka nilipofikia. Unaweza kupata kitu

Hongera sana
Wow, hongera nyingi
cc vijana wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Very interesting story kwakweli wengi wetu muda tuliuchezea sana huko vyuoni. Binafsi huwa natamani sana kuwa benet na watu km hawa wenye inspiration kwa wengine. Hongera sana mkuu umenipa insparation kubwa sana kwa kweli.
Asanteni wakuu.
 
ujumbe. Anza kidogo kwa hicho hicho ulichonacho fursa nyingine utaziona ukiwa ndani ya safari yako.

Umefanya vizuri sana na ideas zako ni nzuri, Badala ya kukaa tuu nyumbani kama watu wengi, wewe unafikiria kila siku jinsi unanyoweza kuweka maisha yako vizuri. Endelea unavyofanya utafika mbali sana baada ya muda wa miaka michache.
 
Nimejifunza kwajinsi watu walivyo pata inspirational kwa ujumbe huu itabidi na mm niwe muwazi wa mafaniko yangu kwa kutoa post One Day, huenda watu watajifunza na kuamka.. Soon nitaiandaa nakuipost hapa watu waone nilivyo toka kwenye maisha duni mpaka sasa namiliki Account ya 84Milion, Nyumba ya 120milion na biashara ya dhamani kubwa zaidi ya 400mlioni. Kwa mihangaiko tangu nikiwa Chuon Udsm 2008-2011 na mpaka leo hii.. 2017.
Stay tuned guys.

Mkuu hongera na mimi binafsi naomba uandike huo uzi ili nasi tujifunze.
 
Kijana ahsante sana kushare nasi vijana wenzako......upo vizuri......Kuna wengine chuono mabisho,,,,hiyo pesa uliyooanza nayo wenzako wananunulia SMARTPHONE ili aonekane.......Hongera sana kijana Allah atakufanyia wepesi.
 
Back
Top Bottom